Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia

Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana

Kwaamaana October tunataka kutic

Ni wapi alipo rais wetu

Asanten sana

LONDON BOY
Yupo kwa MUFTI anajadiliana ANASOMEWA QUNUT
 
IMG-20250720-WA0031.jpg
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia

Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana

Kwaamaana October tunataka kutic

Ni wapi alipo rais wetu

Asanten sana

LONDON BOY
ninakumbuka mwanzoni mwa Januari 2021, maswali yalianza hivihivi. Hadi kina katelefoni wakawa wanatoa majibu ya uongo.
 
hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia Raisi aliko kila siku?
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia

Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana

Kwaamaana October tunataka kutic

Ni wapi alipo rais wetu

Asanten sana

LONDON BOY

Hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia ratiba ya Raisi kila siku?
Nafikiri wale waliopo kwenye utendaji Ngazi za juu wanastahili kujua ratiba ya Muheshimiwa Raisi lakini sisi wengine tuchape kazi...
 
Back
Top Bottom