Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia

Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana

Kwaamaana October tunataka kutic

Ni wapi alipo rais wetu

Asanten sana

LONDON BOY
Mkuu,

Kwani rais hajaonekana siku ngapi?

Rais akienda kunya tu chooni dakika tano napo utataka ujue yuko wapi?
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia

Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana

Kwaamaana October tunataka kutic

Ni wapi alipo rais wetu

Asanten sana

LONDON BOY
Kwani kuna moshi wa rangi gani unafuka huko?
 
Yupo unataka aonekane aende wapi? Magomeni au kariakoo
Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi, mnataka atoke aende wapi? Magomeni au Kariakoo? -Kassim Majaliwa Majaliwa, Njombe, Tanzania, 11 March 2021
 
Write your reply...nyie makenge wa chadema nendeni kenya mkamtoe mme wenu boniface mwangi kakamatwa kwa ugaidi nyie mmejikausha na yule bibi yenu sarungi nae tayari anarudishwa bongo

Another hopeless brain! Jibu lako lina uhusiano gani na mada?
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia

Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana

Kwaamaana October tunataka kutic

Ni wapi alipo rais wetu

Asanten sana

LONDON BOY
Tumuulize MAJALIWA!
 
Write your reply...nyie makenge wa chadema nendeni kenya mkamtoe mme wenu boniface mwangi kakamatwa kwa ugaidi nyie mmejikausha na yule bibi yenu sarungi nae tayari anarudishwa bongo
Safi sana,wale Polisi wa kuzuia ugaidi wamemkamata
 
Back
Top Bottom