X factor
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,436
- 2,298
Bado anapumua sio 😆✌️Umeliwa ndugu yangu
Rais wetu kipenz chetu Samia bado hajaonekana mpaka sasa
Bado anapumua sio 😆✌️Umeliwa ndugu yangu
Rais wetu kipenz chetu Samia bado hajaonekana mpaka sasa
Sio kila mtu hapa ni "Nyie wengine"hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia Raisi aliko kila siku?
Hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia ratiba ya Raisi kila siku?
Nafikiri wale waliopo kwenye utendaji Ngazi za juu wanastahili kujua ratiba ya Muheshimiwa Raisi lakini sisi wengine tuchape kazi...
Viboko unavyo vya kuchapa hiyo kazihivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia Raisi aliko kila siku?
Hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia ratiba ya Raisi kila siku?
Nafikiri wale waliopo kwenye utendaji Ngazi za juu wanastahili kujua ratiba ya Muheshimiwa Raisi lakini sisi wengine tuchape kazi...b
Hahaha hata sisi kwa Dkt Magufuli tulisema hivyo hivyo ila kilichotukuta siku hiyo balaa. Sauti za watu comrde October 2pm ni sauti MuhimuYupo salama
Mkeka wa kubetTunatiki
Rais ana ofisi kila mkoa, Ikulu ndogoKwani Rais ofisi yake ni wapi?
Kumbe ndogoRais ana ofisi kila mkoa, Ikulu ndogo
🤣🤣🤣Yupo zake kutwa nzima kajifungia kwake na usiku kupiga yowe yeye mwenyewe keshaanza kudata hivyo
Ajitokeze tumuone kipenzi chetu ,ukimya wake unatutia mashakaukimkosa ikulu dodoma utamkuta kizimkazi kajifungui.
Ni kiongozi wetu wa nchi lazima tumuulizie .Huu muda ungetafuta pesa badala ya kumuwangia rais ambaye ni mzima w afya na anaendelea na majukumu yake kama Rais wa nchi....uwangaji haulipi umesikia wewe kiazi mbatata?