Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia Raisi aliko kila siku?

Hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia ratiba ya Raisi kila siku?
Nafikiri wale waliopo kwenye utendaji Ngazi za juu wanastahili kujua ratiba ya Muheshimiwa Raisi lakini sisi wengine tuchape kazi...
Sio kila mtu hapa ni "Nyie wengine"
 
hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia Raisi aliko kila siku?

Hivi mnawezaje kuwa na nafasi ya kufuatilia ratiba ya Raisi kila siku?
Nafikiri wale waliopo kwenye utendaji Ngazi za juu wanastahili kujua ratiba ya Muheshimiwa Raisi lakini sisi wengine tuchape kazi...b
Viboko unavyo vya kuchapa hiyo kazi
 
Ningekuwa mimi ndo yeye, aaaahhhh. Ilikuwa imetoka hiyo nawaachia nyumba yao. Matusi yote..... mara kuvuliwa nguo mitandaoni AI ndo nini sasa, kisa nini uongozi? Kudadeki nisingemsikiliza mbwa Yeyote anayenishawishi kung'ang'ania. Mara kupigwa vibao na Kasimu... mara... Halafu wenyewe wametulia tuliiiii.
 
Rais wetu kipenzi samia yupo wapi?.

Ana hali gani huko alipo?

Je afya yake imeimarika maana mara ya mwisho kuonekana hadharani kwenye msiba wa jenista hali yake ilitutia shaka .

Pia ule utaratibu wa kuhutubia taifa kila mwisho wa mwezi umeshazikwa rasmi?
 
Mleta mada, si ni wewe ulitabiri ndani ya siku 6 kuna tukio litatokea??

Au nimechanganya member??
 
Huu muda ungetafuta pesa badala ya kumuwangia rais ambaye ni mzima w afya na anaendelea na majukumu yake kama Rais wa nchi....uwangaji haulipi umesikia wewe kiazi mbatata?
 
Huu muda ungetafuta pesa badala ya kumuwangia rais ambaye ni mzima w afya na anaendelea na majukumu yake kama Rais wa nchi....uwangaji haulipi umesikia wewe kiazi mbatata?
Ni kiongozi wetu wa nchi lazima tumuulizie .

Asingekuwa kiongozi wala tusinge hangaika naye.

Kilichotuunganisha naye ni baada ya yeye kuwa rais kikatiba baada ya magufuli kufariki.
 
Back
Top Bottom