Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,168
- 4,773
Hatamu ikishikwa punda sharti aende
Yupo Zanzibar lkn hana amaniAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY
Anafanya mapenzi ooh mazoezi na minyoo.nirekebishwe nkikosea.Worm ni minyoo
Ha ha ha...kama kukaza ndio huku, basi huyo mama yenu ni mdebwedo.Majizi na mafisadi,ndio kwabana sana,kwa hiyo ndio mbamtaja taja,mama kaza uzi kwa hao majizi.nq mafisadi.
Kwenye matter call yako labdaTunatiki
Njia za ikulu bado zimefungwa?Si unajua ni pipenzi chetu maana Oktober tunataka kutic
Hii picha ni ya tarehe 16 nduguYupo Zanzibar lkn hana amaniView attachment 3412101
Daah ushanitia hasara maana nishatumia nusu ya mshahara hapa bar niliahidi kufanya karamu ya kusherekea ushindi 😆Mkuu kumbe ile picha ni ya tarehe 16
Ushaumwa na nyoka, ukiona unyasi tu, unastuka.Si unajua ni pipenzi chetu maana Oktober tunataka kutic
Yupo salamaOctober 2pm swali hilo la wazushi
Kumbe?Ile picha sio ya leo ni ya tarehe 16
Hya mambo yalianza kama utani kwa hayati magu! Then ikaja kuwa yupo wap.. nw mkutano umeahilishwa for 10dyz je ni coincidence? Anyway kelele zimekuwa nyingi sana.... kunawakati zinaweza kuvulugha mambo!Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY