BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Nimeuliza mwenye Masters ya education atafanya nini Cha ajabu sana compared to mwenye degree ya education?Duh!
Kwamba Masters ya Education haina chochote kwenye elimu? Mie sio mwalimu, ila kwa maoni haya uliyotoa inaonesha kuna shida mahala ya namna tunavyoelewa mfumo wa elimu na umuhimu wake!
Badala uende ukasome unabaki unawawangia waliosoma pomole mkubwa we!Ni wewe ni mmoja ya wenye Masters useless nchini ?
Kama hapana hoja, pengine Serikali haioni hoja unayotaka iifanyie kazi.We hapo unaona pana hoja, kwani ww una Elimu ya diploma? Sasa hapa unafanya Nini au unadakia tu Mambo yasiyokuhusu.
Huyu jamaa tatizo lake ni kubwa sana. Sasa watu kama hawa ni kuwafutia TU usajili kuokoa forum-Mwenye Masters ya magonjwa ya watoto, huyo atatibu watoto Kwa ubora zaidi mwenye Masters ya education atafanya nini Cha ajabu tofauti na mwenye degree?, Elimu zinazokubalika Kwa sana ni CPA ukipata CPA unapandishwa,
-Sehemu ambayo Masters inakubalika ni kama NIMR ambapo wenye Masters wanahesabika Kama Research Officers.
Watalipa wakiona nini kinaletwa na hizo mastazi sio kulalamika alafu hamna kitu cha maanaSubiri wataanza kulipa tu.
Unajua kupanic au unaropoka tu acha kudandia treni kwa mbele utagongwaSasa mbona unapaniki kwan umeambiwa utawalipa ww 🚮
Pumbavu wewe..unaambiwa wataanza kuwalipa watu wenye masters ww unasema "watawalipa wakiona nini? Jinga kubwa sana ww kwahyo ww inakuuma Nini kwani vyuo vimeisha si ukasomeUnajua kupanic au unaropoka tu acha kudandia treni kwa mbele utagongwa
Ukinitusi unafaidika nini?Pumbavu wewe..unaambiwa wataanza kuwalipa watu wenye masters ww unasema "watawalipa wakiona nini? Jinga kubwa sana ww kwahyo ww inakuuma Nini kwani vyuo vimeisha si ukasome
Mbona unakua mfalme njozi mimi kusema waonyeshe impact ya elimu zao imekua tabu dah 😆😆😆 haya ndio matunda ya kuaminishwa mambo ya ajabu jitahidi upate exposure itakusaidia alafu sio lazima utumie kauli chafu kukosoa mtu.Aisee we jamaa acha kuteseka na vitu visivyo kuhusu, kwahyo watu wa masters wakilipwa ww utapungukiwa nini..unaakili za kijinga Sana wewe
Sasa wakuonyeshe ww Kama Nani mbona mswahili swahili Sana, kwani ww kwenda kusoma shida ni nnMbona unakua mfalme njozi mimi kusema waonyeshe impact ya elimu zao imekua tabu dah 😆😆😆 haya ndio matunda ya kuaminishwa mambo ya ajabu jitahidi upate exposure itakusaidia alafu sio lazima utumie kauli chafu kukosoa mtu.
Matumizi ya matusi ni dhahiri unachuki na zinakutesa
Hebu usitafute ligi nilichosema kisome vizuri alafu ndio ulete msongo wa mawazo ya kukosa chai kwa shemejiSasa wakuonyeshe ww Kama Nani mbona mswahili swahili Sana, kwani ww kwenda kusoma shida ni nn
Tuliza spika kwa shemeji dada akisafiri ibanduliwe unataka ligi asubuhi njaa zinakusumbua macho hayana nguvu ya kusoma na ubongo kutafsiri kwakua njaa imekukaba uombe dada hela katafute mihogo kwanza ili akili zikae sawa now unaweza pandisha kichaa chako kila na hivi hujameza dawa basi tafraniUmeona sasa kumbe mdomomdomo ni jadi yako pumbuvu we! Kwahyo kuwa na chai tu unaona upo vzur sana😄😄 hvi chai tamu eeeh!