Tunaomba tujue kama D9 ndo imekufa au bado ipo

Tunaomba tujue kama D9 ndo imekufa au bado ipo

Mpaka sasa naona watu wamegive up

Kwani before tulisikia Gen Z kudai kuwa watu wa usalama hawatorudia tena yale makosa ya kuwafyatulia ovyo raia

Lakini kutokana na hotuba ya namba moja aisee mtu ambaye hajali chochote kuhusu uhai lazima vijana tuchill kwanza
 
D9 afile munu asigale munu show show.

Samuya muoga tu anakimbilia kurudisha mpira kwa kipa ,anakimbilia curfew ,anakimbilia kushutdown internet ,anakimbilia blackout ,kama yeye anajiamini asifanye hayo Gen Z wapambane na magaidi wake.
 
Raisi wa Gen Z huko tiktok ataandika email kumtaka ajiuzulu kwa raha zake
 
Sifikirii Kama kwa dar watu watathubutu kuandamana
Yaani hata kutembea dar siku hizi kunatisha kwa jinsi walivyojaa kila sehemu, na lazima utakatiza mitaa kadhaa na kusimamishwa na kuulizwa vitambulisho. dah, hawa wajinga waliochomachoma miundo mbinu wametuharibia mji kabisa hakuna hata raha ya kutembea mjini siku hizi....
 
Back
Top Bottom