stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Gadafi aliondolewa na utawala mwingine sio wananchiUtawala ni nini? Vipi kama Utawala umemchoka anaetawala? Gaddafi,na wengineo wapo wapi leo?
Gadafi aliondolewa na utawala mwingine sio wananchiUtawala ni nini? Vipi kama Utawala umemchoka anaetawala? Gaddafi,na wengineo wapo wapi leo?
Utaongea kwa sababu unataka kubisha ila ukwel ndo huoNani kakwambia?
Utawala gani ulifanikiwa kupambana na umma?
Tumeimarika kuliko mwanzoKufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
Utajua hujuiUnaongea kama mtawala wa sehemu Gani?
Hasa utawala wenyewe ukiwa ni wa kura za wizi na mauaji.Huezi shindana na utawala
Utawala wowote ni sawa sawa uajiriwe sehem alafu uanze njama za kuangusha ofisiHasa utawala wenyewe ukiwa ni wa kura za wizi na mauaji.
Narudia tena, hasa utawala wenyewe unapokuwa wa wizi wa kura, na mauaji.Utawala wowote ni sawa sawa uajiriwe sehem alafu uanze njama za kuangusha ofisi
SAWA MKE WA MULIROHiyo D9au25D haitakuwepo.wanaoandika humu ni WAHUNI wachache tu ambao ni keyboard warrior.Kwa kichapo walichokipata wale WAHUNI wa kuchoma miundombinu hawatarudia Tena uhuni wao
Nyie mmegoma wenyewe kuweka mgombea, sasa mmeibiwa nnNarudia tena, hasa utawala wenyewe unapokuwa wa wizi wa kura, na mauaji.
Tuweke mgombea kwenye uchaguzi ambao tayari mshindi ameshapangwa? Mpina naye alijiondoa?Nyie mmegoma wenyewe kuweka mgombea, sasa mmeibiwa nn
Sasa msitulaumu na picha mlizojitengenezea kichwaTuweke mgombea kwenye uchaguzi ambao tayari mshindi ameshapangwa? Mpina naye alijiondoa?
Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
Tumuulize Visu visu a.k.a majambia majambia,Situnexi na Lucasaya mbongo Mushamba? wao wanamaoni gani?Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
Hakuna wajinga wa kudumu boss.Sasa msitulaumu na picha mlizojitengenezea kichwa