Tunaomba tujue kama D9 ndo imekufa au bado ipo

Tunaomba tujue kama D9 ndo imekufa au bado ipo

Amiri jeshi mkuu hana cha kuwafanya TEC kabaki kufoka tu hadi anatokwa mishipa ya shingo halafu unauliza kama kuna tatizo?

Mbona kwa Gwajima hakutokwa mishipa ya shingo alitoa kijembe tu na kufanya vitendo ila kwa TEC hali ipo tofauti.
unatakaje sasa
 
unatakaje sasa
Nataka Amiri jeshi mkuu awafungie makanisa hao wakatoliki kama alivyofunga makanisa ya Gwajima, kwa kufanya hivyo atadhibitisha alichosema kwamba hakuna dhehebu la dini lilokuwa juu ya wengine.
 
Nataka Amiri jeshi mkuu awafungie makanisa hao wakatoliki kama alivyofunga makanisa ya Gwajima, kwa kufanya hivyo atadhibitisha alichosema kwamba hakuna dhehebu la dini lilokuwa juu ya wengine.
kalale
 
wala ata sio ivo, ccm ni very influencial ni chama kikubwa sana afrika, kwasaaahv ccm ndo tanzania
Ni vile kinalala bila nguo kwa bwana zake. Kingekuwa kina bana leo kingekuwa hakipo lakini hata bibi alikuwa mwali mwisho upo.
 
Back
Top Bottom