stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
ccm sio rahisi kama unavodhan, infact ndo chama kikubwa afrrika nzima na duniani #10Huo utawa ndiyo nao utamuondoa, tunaongozwa na tusio waona
ccm sio rahisi kama unavodhan, infact ndo chama kikubwa afrrika nzima na duniani #10Huo utawa ndiyo nao utamuondoa, tunaongozwa na tusio waona
Siyo rahisi kwasababu kipo tayari kuua watanzania ili kiendelee kubaki madarakaniccm sio rahisi kama unavodhan, infact ndo chama kikubwa afrrika nzima na duniani #10
Mbona TEC wanashindana na Samia kabaki kupiga mikwara tu mbona hawashughulikii kama alivyofanya kwa Gwajima?Huezi shindana na utawala
Hata kama hayatakuwepo.Mpaka sasa naona watu wamegive up
Kwani before tulisikia Gen Z kudai kuwa watu wa usalama hawatorudia tena yale makosa ya kuwafyatulia ovyo raia
Lakini kutokana na hotuba ya namba moja aisee mtu ambaye hajali chochote kuhusu uhai lazima vijana tuchill kwanza
Punguza ujingaKufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
Acha hizo wewe sasa sheikh majini alifanya uhuni gani?Hiyo D9au25D haitakuwepo.wanaoandika humu ni WAHUNI wachache tu ambao ni keyboard warrior.Kwa kichapo walichokipata wale WAHUNI wa kuchoma miundombinu hawatarudia Tena uhuni wao
GEN Z imepata KIHARUSI, inapumulia mashine baada ya hotuba ya Ameir jeshi mkuu Dr Samia S H.Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
sehem ya kikosiMbona TEC wanashindana na Samia kabaki kupiga mikwara tu mbona hawashughulikii kama alivyofanya kwa Gwajima?
wala ata sio ivo, ccm ni very influencial ni chama kikubwa sana afrika, kwasaaahv ccm ndo tanzaniaSiyo rahisi kwasababu kipo tayari kuua watanzania ili kiendelee kubaki madarakani
SahihiHata kama hayatakuwepo.
Hatatawala kwa amani mkuu.
Ni suala la Muda tu.
Tena utashangaa tarehe 12 au 15. Maandamano hayo
Kaa kwa kutulia ,,,,,,bado siku chache hutaamini unaachokionaHiyo D9au25D haitakuwepo.wanaoandika humu ni WAHUNI wachache tu ambao ni keyboard warrior.Kwa kichapo walichokipata wale WAHUNI wa kuchoma miundombinu hawatarudia Tena uhuni wao
Hawajui kuwa uoga ulishaondoka Tanganyika tarehe 29 OktobaKaa kwa kutulia ,,,,,,bado siku chache hutaamini unaachokiona
Rais mzima anaongea hadi mishipa ya shingo inamtoka kwa sababu ya TEC.sehem ya kikosi
kuna shda?Rais mzima anaongea hadi mishipa ya shingo inamtoka kwa sababu ya TEC.
Polisi na jeshi ni raia wanao tumiwa na watawala na wanaweza kuugeuka huo unao uita utawala muda na saa yeyote endapo utawala huo utasababisha wao na familia zao kuwa matatani na mifano ipo hivyo usijilishe upepoHuezi shindana na utawala
sjui mnataka kuelezwa mara ngap ila huezi kushindana na utawala, hata mfanye maadamano mwaka mzima huezi kushinda mamlaka, ni mjinga pekee anaeaminishwa anaweza kuagusha serikali kwa kelele! nikuhakikishie tu, huezi kuangusha serikali zaidi utasababisha maziko mengi sana mpaka sku utaamua kunyoosha mikono mwenyewePolisi na jeshi ni raia wanao tumiwa na watawala na wanaweza kuugeuka huo unao uita utawala muda na saa yeyote endapo utawala huo utasababisha wao na familia zao kuwa matatani na mifano ipo hivyo usijilishe upepo
Amiri jeshi mkuu hana cha kuwafanya TEC kabaki kufoka tu hadi anatokwa mishipa ya shingo halafu unauliza kama kuna tatizo?kuna shda?