Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Na Hussein Mubaraka wa Egypt aliondolewa na nani?Gadafi aliondolewa na utawala mwingine sio wananchi
Na Hussein Mubaraka wa Egypt aliondolewa na nani?Gadafi aliondolewa na utawala mwingine sio wananchi
Litakuwa lishauza nchi nzimaMsiandamane jamani,niliacheni tu hili limama limalize muda wake,2030 siyo mbali tutadili nao ipasavyo
Kutotoka naona ndo risk kubwa sana kuliko kutoka hiyo D9. Sababu ni hiziSasa wasipotoka si watauliwa vyumbani mwao!
TANZANIA NI NCHI HURU . TANZANIA ITAENDELEA KUWA SALAMA . VIVA TANZANIA, VIVA SAMIA , VIVA WAZALENDO WOTE WA TAIFA LETU HURU.Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
Aliondolewa na jeshi, japokua wananchi walifululiza kuandamana but waliomaliza mzozo ni jeshiNa Hussein Mubaraka wa Egypt aliondolewa na nani?
Una uhakika gan wanaoandamana sio wajinga? Una justfy ujinga kupitia nn? Mfano ruto alishinda kiti kwa asilimia chache tuseme alishinda kwa kura mil 5 alafu mil 3 waliobaki wakampigia mwingine, mkiadamana mtaonekana wengi but bado mnakua wanjinga kwa sababu hamfuati katiba inasema nn, hivo action yoyote itakaochukuliiwa anakua sahihiHakuna wajinga wa kudumu boss.
Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA M
Hili swali inafaa walijibu wazee wa Daslaama,kwani kama ni kuchochea moto wao wamehusika,tena kwa kushiriki kuvunja daraja pekee lililosali la kuvukia kwa miguu tena kwa kupisha.Wsmeona tunafaa tuliwe na mamba pindi tukianza kuvuka katika mto ulio jaa mamba mithili ya mto Mara kwenye ule uvukaji wa mara moja kila mwaka kwa ajiliya kwenda malishoni na kutengeneza familia changa.Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
Katiba ipi uneongelea boss? Hakuna katiba inaruhusu wizi wa kura.Una uhakika gan wanaoandamana sio wajinga? Una justfy ujinga kupitia nn? Mfano ruto alishinda kiti kwa asilimia chache tuseme alishinda kwa kura mil 5 alafu mil 3 waliobaki wakampigia mwingine, mkiadamana mtaonekana wengi but bado mnakua wanjinga kwa sababu hamfuati katiba inasema nn, hivo action yoyote itakaochukuliiwa anakua sahihi
Id mpya.Yaani hata kutembea dar siku hizi kunatisha kwa jinsi walivyojaa kila sehemu, na lazima utakatiza mitaa kadhaa na kusimamishwa na kuulizwa vitambulisho. dah, hawa wajinga waliochomachoma miundo mbinu wametuharibia mji kabisa hakuna hata raha ya kutembea mjini siku hizi....
GEN Z hawapangiwi tarehe na kiongozi.... hiyo 25 imetungwa tu ili kughilibu watu.Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii
Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
Sheria ni kwa ajili ya maskiniKatiba ipi uneongelea boss? Hakuna katiba inaruhusu wizi wa kura.
tarehe 29.10.2025 tulishindana na utawala ,wananchi tukashinda .Utawala walivyoona wameshindwa waka kimbilia yafutayoHuezi shindana na utawala
Ushindi wenu upo wap? Samia bado president, mnaolia ni nyie mnaojiita washindi, au mmeshinda kulia apo sawatarehe 29.10.2025 tulishindana na utawala ,wananchi tukashinda .Utawala walivyoona wameshindwa waka kimbilia yafutayo
1. kuzima umeme na internet
2.kuua watu kwa risasi za moto .
3. lockdown (curfew)
Yaani nyumbu wanashangaza.Yaani wanadai wameibiwa kura kwenye Uchaguzi walioususia.Yaani uache pochi nyumbani ukifika stendi udai umeibiwa?Kama sio ukichaa ni nini?Nyie mmegoma wenyewe kuweka mgombea, sasa mmeibiwa nn
Hussein Mubaraka ndio nani wewe zwazwa?Au na wewe umefuata mkumbo?Hakuna kiongozi wa Egypt ana jina hilo!Na Hussein Mubaraka wa Egypt aliondolewa na nani?
Wamechoka kuishiYaani nyumbu wanashangaza.Yaani wanadai wameibiwa kura kwenye Uchaguzi walioususia.Yaani uache pochi nyumbani ukifika stendi udai umeibiwa?Kama sio ukichaa ni nini?
Ivi wewe unajielewa kwel? Umeshinda nn sasa apo? Zaidi watu wamepoteza big time kuanzia maisha wengine wana ulemavutarehe 29.10.2025 tulishindana na utawala ,wananchi tukashinda .Utawala walivyoona wameshindwa waka kimbilia yafutayo
1. kuzima umeme na internet
2.kuua watu kwa risasi za moto .
3. lockdown (curfew)
Huo utawa ndiyo nao utamuondoa, tunaongozwa na tusio waonaGadafi aliondolewa na utawala mwingine sio wananchi