unatakaje sasaAmiri jeshi mkuu hana cha kuwafanya TEC kabaki kufoka tu hadi anatokwa mishipa ya shingo halafu unauliza kama kuna tatizo?
Mbona kwa Gwajima hakutokwa mishipa ya shingo alitoa kijembe tu na kufanya vitendo ila kwa TEC hali ipo tofauti.
Nataka Amiri jeshi mkuu awafungie makanisa hao wakatoliki kama alivyofunga makanisa ya Gwajima, kwa kufanya hivyo atadhibitisha alichosema kwamba hakuna dhehebu la dini lilokuwa juu ya wengine.unatakaje sasa
kalaleNataka Amiri jeshi mkuu awafungie makanisa hao wakatoliki kama alivyofunga makanisa ya Gwajima, kwa kufanya hivyo atadhibitisha alichosema kwamba hakuna dhehebu la dini lilokuwa juu ya wengine.
Ni vile kinalala bila nguo kwa bwana zake. Kingekuwa kina bana leo kingekuwa hakipo lakini hata bibi alikuwa mwali mwisho upo.wala ata sio ivo, ccm ni very influencial ni chama kikubwa sana afrika, kwasaaahv ccm ndo tanzania
marehem alikua na maneno sanaNi vile kinalala bila nguo kwa bwana zake. Kingekuwa kina bana leo kingekuwa hakipo lakini hata bibi alikuwa mwali mwisho upo.
Na bado.kalale