Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

Mkwara mbuzi
 
Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa JMT. Mimi siyo CCM wala CHADEMA, yaani sina chama. Lakini sina trust na Lisu kabisa kwa usalama wa Taifa letu.
Watu wajinga Kama wewe mpo wachache mno.Huwezi jua kwa nini mipango ya kumuua ilishindikana.
God is super-extra-great.
 
'…Tunapaswa kusamehe yaliyopita ila sio kusahau, kwa kuwa tukisahau huenda tukarudia Makosa…'-Prof Ibrahim Haroun Lipumba 2003 kwny Uzinduzi wa Muafaka wa pili wa Kisiasa Znz baada ya mauaji ya Jan 21,2001

Wakati akizungumza hayo alikuwa akimtazama Katibu Mkuu wa Ccm Mzee Mangula, Mratibu wa muafaka huo upande wa Ccm Mzee Kingunge na Mwenykt wa Ccm Mzee Mkapa, Katibu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa akitikisa kichwa chini na juu kuashiria kukubali maelezo hayo

Mbona tundu alisema kipindi cha kampeni kwamba amewasamehe wote watesi wake ila nikiona twit zake kule Twitter yule bwana bado anakinyongo.
 
sasa anavoongea ivo mwisho wa yote atapata nini,au akiongea ivo ndo anajiskia amani,just stupideness
 
sasa anavoongea ivo mwisho wa yote atapata nini,au akiongea ivo ndo anajiskia amani,just stupideness
Stupid ni kusema katumwa na mabeberu wakati yeye anaeleza uhalisia wa aliyopitia.
Nina uhakiki kwa wenye mamlaka kuna vitu wanajifunza kupitia hizo kauli anazotoa Tundu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…