Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,082
- 2,402
Ndio, ngoja nitoke kwa nnje angalau nikuchukulie view kwa nnje!ile ya pale Kimara Baruti???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, ngoja nitoke kwa nnje angalau nikuchukulie view kwa nnje!ile ya pale Kimara Baruti???
Hii ya 500k angezimia kabisaile ya pale Kimara Baruti???
Kariakoo sehemu kama iyo andaa 800k Ku panda juu; bei ni reasonable; alafu sikuhizi riverside pamekuwa ushuwani interchange ya magufuli inafika mpaka mavarandani mwa wakaziVyumba viwili 250[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda apartment kkoo pale mamaee .
So kwa hiyo bei na nyumba ilivyo na sehemu iliyopo naona poa, kama ni vyumba viwili kimoja master sebule na jiko,Bei kubwa sana maeneo hayo wewe.
Halafu wewe ni dalali kabisa unajifanya huna experience!!!
Tazama nyumba yenyewe, quality yake local sana. Cheki madirisha!!
Waambie mkuu mana wamekaa kulia lia tu.Kariakoo sehemu kama iyo andaa 800k Ku panda juu; bei ni reasonable; alafu sikuhizi riverside pamekuwa ushuwani interchange ya magufuli inafika mpaka mavarandani mwa wakazi
Tena ubungo apo ni mjini kabisa bei iko reasonable kabisa; Mimi mwisho wa mwezi huu wac6 kodi inaisha.nimepanga kwenda pembezoni kabisa uko kuanzia tegeta boko bunju mpaka mbweni kutafuta sehemu kama iyo kwa budget ya 200k _ 250.( chumba masta sebule, chumba jiko, public toilet. River side apo mjini kabisa; namafuriko huwa hakunaWaambie mkuu mana wamekaa kulia lia tu.
Hii ya 500k angezimia kabisaView attachment 1113754
Hahaa mke bado ngoja nimalize kwanza mjengo wangu, nihamie kwangu, Pia namsubiria mdogo wake mama deboraMmh!! Kumbe dalali Tunzo unaonekana una pesa, maisha mazuri. Nakudharaugu bure!!
Una mke??
Wa Dar changamkieni fursa hyoSalaam,
Nyumba inapatikana UKONGA (kitunda)
Umbali wa km 5 kutoka nyerere road
MAELEZO
nyumba ina vyumba vitatu (1self contained)
Dinning room, seating room, kitchen, store, & public toilet.
Eneo lake ni sqm 520
Eneo tayari limeshapimwa.
Maji na umeme tayari
With Tiles & gypsums
Price 25m
Call: 0756 832833
View attachment 1121698View attachment 1121699View attachment 1121700View attachment 1121701View attachment 1121703View attachment 1121705
Mbona bei ya kutupa au hailaliki na mambo ya African chemistry [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo ni Bado physics na mathe za wabongo.