mbona unalazimisha marburg kuwa ni ebola wakati ni magonjwa mawili tofauti?
Alafu hiyo virus inatokana na kula nyani Marburg ilitokea kwenye nyani wa labs huko Ujerumani mji wa Marburg na Ebola ilitokea kwanza congo magonjwa hayo yote hutokana na nyani usile hiyo kitu na kaa mbali na nyanipunguza ujuaji alafu kubali kujifunza kwani unafikili ebola ni common name yani kama jina la kujitungia.... Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na ebola virus na Marburg ni ugonjwa unaosababishwa na Marburg virus ote awa wanapatikana katika kundi la filovirus ambalo ni kundi la long filamentous virus na wana characteristics ya kusababisha hemorrhage fever yan ni homa inayosababisha kupungua kwa strength ya blood vessels na kupelekea kua rahisi kuburst na mtu kutokwa na damu
sasa kwa lugha rahisi ata kama simba na tiger wanafanana kwa kua ote wapo kwnye kundi moja mtu akishambuliwa na tiger atuwezi kusema kashambuliwa na simba kisa tu watu awajawai kumsikia tiger
Nadhani umepotea sasa, tafakari kwanza.Satellite ni satelaiti? Vipi typhoid ni taifodi? Kumbe Marburg ni Ebola?
Why is Uganda's Ebola outbreak so serious? - BBC News
Huu ugonjwa umetokea pande za ugonjwa siyo?
Kwamba unasaidiwa je?Ukija na majibu yako na huamini kwenye taratibu zilizopo na wakati huo hauna ushahidi ni hisia utasaidiwaje?
Hapa unapoteza point, nenda kasome IQA na EQA. Rudi uje uone uliyoandika. Yale majibu hayakuwa kamili kwa mujibu wa taratibu za qualitu assessment. Kajisomee, usibebe mambonya wanasiasa. PI alitoa boko.Hata ebola si kiswahili. Bali ebola ni jina la mto huko Congo lenye kuhusianishwa na asili ya ugonjwa huo.
Ugonjwa ulioko Kagera hauwezi kuachwa kufungamanishwa na ugonjwa uliomalizika majuzi Uganda.
Why is Uganda's Ebola outbreak so serious? - BBC News
Kwamba Uganda ilikuwa ebola ni mwenda wazimu pekee anaweza kuamini Leo kuwa kagera Kuna ugonjwa mwingine Marburg ambao si ebola wenye dalili hizo hizo.
Hivi Kwa kutuona je ndugu?
Nyie si mna historia ya kupima mbuzi, oil, mapapai na hata mafuta ya kula na majibu yanapatikana?
Nadhani umepotea sasa, tafakari kwanza.
Kasome misitu inayozunguka upande wa Uganda na Bukoba na possibility za kuleta HAEMORRHAGIC FEVER kwa kuzingatia mienendo ya maisha ya watu na mwingiliano wake.Kwamba unasaidiwa je?
Huu ugonjwa umetokea Uganda?
Why is Uganda's Ebola outbreak so serious? - BBC News
Unafanana kila kitu na ebola ila siyo Ebola. Anayesema hivyo aliwahi pima mbuzi na oil kwenye janga jingine kama hili?
Mnategemea tutawaambia? Kwa lipi sasa?
Umeamua kuandika ya kwako. Si Kuna maswali mle mbona hujibu?Hapa unapoteza point, nenda kasome IQA na EQA. Rudi uje uone uliyoandika. Yale majibu hayakuwa kamili kwa mujibu wa taratibu za qualitu assessment. Kajisomee, usibebe mambonya wanasiasa. PI alitoa boko.
Kulikoni hujibu maswali ndugu?Kasome misitu inayozunguka upande wa Uganda na Bukoba na possibility za kuleta HAEMORRHAGIC FEVER kwa kuzingatia mienendo ya maisha ya watu na mwingiliano wake.
Utasema hayo ukiwa na ushahidi si hisia na hapa tunatoka kwenye fact na kuanza maneno ya kanga.Si kuwa umetambua kudanganya mjifunze kukumbuka na huwezi kuwadanganya watu wote siku zote?
Walisema waswahili fumbo fumbieni wajinga.
Hii nimejibu hapo juu, soma kwa makini si kujaza server jamani.Umeamua kuandika ya kwako. Si Kuna maswali mle mbona hujibu?
Huu ugonjwa unaaminika kutokea Uganda siyo?
Kuna watu wakiota tu wanaona ni fact.Heee.
Kumbe hiki wanachokiita Marburg ni Ebola?
Acheni utani bandugu mnamaanishsha ebola kama ebola yenyewe?
Una maabara yako umepima wahanga ukajua ni ebola!?..hao mabwana zako mabeberu wamepima wakakwambia ni ebola!?Soma mada usirukie treni kwa mbele. Uswahilini hakuna google. Maisha yako uswahilini siyo kwenye google wala mitandaoni.
Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak
Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Utasema hayo ukiwa na ushahidi si hisia na hapa tunatoka kwenye fact na kuanza maneno ya kanga.
Ndo maana nasema pumzika utafakari ili uje na mabo ya msingi na yenye kusaidia jamii.