Aaaah!Ngoja kwanza , hapa sijakuelewa , nimeweka ya CAG ili kuonyesha uvumilivu wa Wazungu kwa uchafu wetu , yaani pamoja na kwamba ndani yetu wamo panya buku lakini wao hawachoki kutupa chakula .
Wanatengeneza ili wauze nasi tunanunua, hawatoi bure.mmetengenezea SIDO ?
Tangu lini misaada ikatusaidia?Kwa nini na sisi tusiprinti tu hizo karatasi?
Dhahabu inayochimbwa Marekani, Canada na Australia inaifanya hiyo ya kwenu Africa kuwa cha mtoto tu.
MZAZI wako ana Hasara sanaSasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.
Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
Wa kwako ndiyo kabisa kashafanya matangaMZAZI wako ana Hasara sana
Weeee !!! sema Thuuuu !!MZAZI wako ana Hasara sana
Tangu lini Wamawia wakawa na Akili za utambuzi?Wa kwako ndiyo kabisa kashafanya matanga
Akili unazo wewe murundiTangu lini Wamawia wakawa na Akili za utambuzi?
Ukweli mtupu...
Kama mtu haelewi, kiazi kitaelewaje?Kama kuna mtu huwa anakuelewa basi huyo mtu ni bonge la kiazi
Wazungu OyeeeeeMungu wabariki sana. Nilitakiwa kumlipia mwanangu ada ya US 60,000 kwa mwaka na degree ni yavmiaka minne lakini wamesema watamlipia wao. Mimi ninatakiwa kulipia usafiri na visa basi. Ninashukuru Mungu maana ni pesa kubwa sana kwa sisi tunaoishi kwa mshahara.
Ccm wanataka hela zao lakini haitaki demokrasiaSasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.
Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"