stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Hawajitambui hawa. Na ndiyo maana hawajui ni kwanini dunia ni moja lakini waafrika tunaambiwa tupo dunia ya tatu. Na ndani yake kuna nchi zilizoendelea na nchi zinazoendelea. Na zingine hazijaanza hata kuhisi nini maana ya kuendelea. S. Sudan nk. Mataifa mengi ya Afrika yalipata uhuru 1960-. Kinyume cha uhuru ni utumwa, kutumikishwa na wazungu. Marekani ilikuwa huru 1776 kama skosei Tanganyika 1961 tofauti ya zaidi ya miaka 185, leo tunataka tufanane na marekani?. Aliyekuzidi amekuzidi tu. Tuendelee kuiba kura kwenye uchaguzi, na kuwauzia wazungu madini yetu. Pia waje wayachimbe maana hatuna zana za kuchimbia, tena waje kuona mbuga zetu watupe pesa. Mkuu Erythrocyte achana na hawa wanaoujua ukweli (kama kweli wanaujua) lakini wanajitoa ufahamu.Sasa mimi ndio kiazi au huyo anayenielewa ? nadhani niite mimi kiazi badala ya wanaonielewa , napokea matusi ya aina zote .
Nadhani msaada mzuri ni ule wa kukusaidia ili upunguze utegemezi.Wazungu wameisadia sana Africa
Mkuu jipige pige kifuani mara tatu useme wewe si tu ni nyumbu bali nyumbu tahira.
Hii suti alikua anaumwa au photo shopHii vita ya vinyesi tumemuachia BRIGEDIA MABWANGA atuongozeView attachment 2571299
Watongozaji ni wanaume! Now you're coming to your true colors! Pole.Nilishatongozwa wanawake na sio wanaume na kwa taarifa yako hawawezzi kujaribu
Nadhani msaada mzuri ni ule wa kukusaidia ili upunguze utegemezi.
Inamaana unashindwa kwenda YouTube uandike tu mwakyembe kuhusu ushogaHiyo clip ya Mwakyembe iko wapi??tusaidieni hapa tuione jamii
........kabla hata hatujawaombea baraka tayari wameshabarikiwa, wanafanya kazi kwa bidii, wanalipa kodi na hizo Kodi wanatupatia sisi tule........basi watazidi kubarikiwa coz Mungu anabariki mkono utoao na sio upokeao, sisi tuendelee kula vya watu huku tukitumikia laana zetu......hakuna namna nyingine kama kila mwaka tunashindwa kujirekebisha kutokana na repoti mbovu za CAG.........lakini nawasihi ipo siku Mungu atatenda makuu juu ya hii race ya kiafrika, tutaamka kutoka usingizini, tuendelee tu kuelimishana tusichoke, Mungu ibariki Africa, na wote tuseme Amina.......Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
sasa kama ni hivyo wasiwasi wako unatoka wapi ?Nilishatongozwa wanawake na sio wanaume na kwa taarifa yako hawawezzi kujaribu
Na wewe ni miongoni mwa watu wanaopambania kweli upinzaniSasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
Unatumia device ya wazungu halafu unadai uzi huu si salama !Mungu nisaidie nitoke salama kwenye uzi huu yaani nisikorofishane na Moderators wa JF. Naomba msaada wako Muumba, huu uzi si salama kabisa kwangu.
Kwani hiyo device kapewa na wazungu au kainunua?Unatumia device ya wazungu halafu unadai uzi huu si salama !
mmelipa nini ?Duniani hakuna vya bure
mmetengenezea SIDO ?Kwani hiyo device kapewa na wazungu au kainunua?
mmelipa nini ?
Nab alikwambia arv zinatolewa bure. Wake up nyie watu ndo maana wazungu wanatuona wapumbavu... yaani Marekani awagawie ARV's za bure ili mumuunge mkono? Watu mnaharisha ukimwi mnamuunga mkono kwa lipi? That's just a humanitarian aid elewa hilo Mkuu.