Kuwanyosha wahuni wenzako serikalini na wauza ngada wa msogaNa ukatiri wake ni kitu gani hasa cha maana alichokifanya?zaidi ya kuleta maafa tu kwa wananchi!!Eti mwananchi kulalamika maisha magumu nalo ni kosa akamatwe!!!ndugu akipotea eti ukitoa taarifa polisi na wewe ukamatwe!!tunachoweza kusema MUNGU FUNDI
hahaaaa!!!sasa yupo wapi hao wahuni ndio sasa wanawanyoosha kundi la washamba lililokuwa limepewa nchi!!!WANAKWAMBIA "BORN HERE HERE,DEAD HERE HERE"Kuwanyosha wahuni wenzako serikalini na wauza ngada wa msoga
Njaa na Amani havikai pamoja.hahaaaa!!!sasa yupo wapi hao wahuni ndio sasa wanawanyoosha kundi la washamba lililokuwa limepewa nchi!!!WANAKWAMBIA "BORN HERE HERE,DEAD HERE HERE"
Sasa wananchi tuna amani sana licha ya maisha kuwa magumu.
Ni kweli ila kwa TZ,vimeweza kukaa pamoja!!wasomi wafanye tafiti wa hili imekuwaje?toka uhuru ni njaa tu lakini amani ipo!!Njaa na Amani havikai pamoja.
Siyo hilo tu. Mama kakosea na kukoromea checks and balance ya makampuni yanayo bid kupata tenda. Rais anasema she doesn't care watu kula rushwa as far as matokeo ni mazuri. Kauli mbovu worst kabisa kutolewa na Rais wa nchi.Katika hili mama amekosea kwa 100%
Nchi yetu Tz, unahitaji Katiba mpya na yenye kukulinda, mtu yeyote asiichezee, na asiwachezee wananchi na mali za nchi.Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote...
Mbona umetaja makabila ya Wachaga na Wahaya.Wenzenu wakati wanasomesha watoto wao nyie mlikuwa mnakataa shule ili mchunge ng'ombe halafu na kutambiana kuoa wake wengi na pia kuendekeza uchawiSasa wameambiwa waajiri sasa wafanyaje????
Labda itungwe sheria wahaya au wachaga au bosi asiajiri watu wa kabila lake hata akiwa na sifa
Mkuu bila connection Utumishi au hela hupati ajira..Katika hili mama amekosea kwa 100%
Yaani watu sijui wakoje. Hata hiyo dhana ya kuweka ndugu si tatizo kubwa kiasi hicho. Maana maamlaka zitafuatalia na hakuna mtu ataweza kuhamishia ukoo wake sehemu ya kazi.Wabongo sijui nini mnataka yaani. Wakati ajira zinatoka utumishi malalamiko kila siku jinsi kulivyo na urasimu na kupotezeana muda/nauli sasa mchakato umeeahisishwa malalamiko tena!
Hivi nini mfanyiwe muwe na shukurani wazee?
Hivi unadhani utumishi ndio hakukuwa na ndugunaizesheni? Pole Sana
Hii ni point muhimu sana. Chadema/Lisu/Mbowe/Mnyika and others waisemee hii tafadhali ErythrocyteKama unakumbukumbu vizuri, Hiki suala Kila Mtanzania alilipinga, Mashirika haya yalijaa Undugu , mtoto wa Boss, mtoto wa Mjomba...
Yatachukiwa mpaka yatakapoacha ukabila.Hivi mtayachukia hayo makabila mpaka lini. Maendeleo yao hayana uhusiano na upuuzi wa makabila mengine
[emoji23]Huyu naye huwa saa zingine anaropoka
Mfano kasema kuwa kampuni ikishachaguliwa, zilizoachwa zisiende pccb na ppra
Wanyakyusa piaSasa wameambiwa waajiri sasa wafanyaje?
Labda itungwe sheria wahaya au wachaga au bosi asiajiri watu wa kabila lake hata akiwa na sifa
Saa 100 mwenyewe ana elimu ya kuunga unga unategemea niniKama unakumbukumbu vizuri, Hiki suala Kila Mtanzania alilipinga, Mashirika haya yalijaa Undugu , mtoto wa Boss, mtoto wa Mjomba .
Mashirika yalijaza watu wasokua na weledi, watu mambumbu ,watu walisoma Kwa kufelifeli ila chapchap ili mradi wawahi Baba zao ,wajomba zao kwenye shirika Fulani.
Nakumbuka, HAYATI JPM, aliwahi amuru Shirika Fulani, lifute Ajira zote walokua wameshawapa Ndugu zao, na kuamuru mchakato uanzs upya.
Unaturudisha kulekule ambako tumetoka, kule ambako Rushwa ilitamalaki ili upate Ajira huku ukabila na udini ukiendelea .
TAMISEMI nao ndo Hawa!
Watanzania ni wazi, tuna Kila sababu ya Kumuombea na kumshukuru Hatari JPM
Picha iliopo Sasa nikua, yale yote yalikua wakati wa uongozi wa "Msoga" ,ndio yanarudi Sasa.
Hivi Kweli, Baba, JPM , asingejitutumua , tungekua na Daraja la JPM? SGR, ? JNHEPP, MELI MPYA KADHAA, , NDEGE, ELIMU BURE , UPANUZI WA VIWANJA VYA NDEGE., MADARAJA KILA KONA..
Ukweli ni kwamba Kwa stahili hii, kusingekuwepo na hata Moja, kinachofanyika Sasa, ni watu kua na aibu Kwa khogopa he miradi hii ikifeli, itakuaje? Hatutaonekana tumeshindwa?
Mwenye mradi Mpya alouanzisha Samia Kwa miaka yake miwili hii anijuze, naona kama tunajiendea endea.