pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Pelekeni kobasi nusu madera..anaye taka kwenda Palestine kuwasaidia akajiandikishe ubalozin wa Palestine ..mkawasaidie kama mnawapenda sanaWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na manyanyaso makubwa Kwa miaka mingi lakini hawajakata tamaa huku bado wanaendelea kupigania haki zao.
Ni muda muafaka kusikia kauli kutoka kwa jumuiya husika hapa tanzania
Karibuni mtoe maoni
Hapa Gaidi Lina pumulia mdomo kama bata
Ndo ivo mkuu, ikiwezekana vyombo vya habari vikaushe kimyaa, wachapane kimya kimya bila propaganda wala kutafuta huruma sijui kuungwa mkono kisiasa.mpaka apatikane mshindi..
Hao ndugu zako ndio walioanza uchokoziWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na manyanyaso makubwa Kwa miaka mingi lakini hawajakata tamaa huku bado wanaendelea kupigania haki zao.
Ni muda muafaka kusikia kauli kutoka kwa jumuiya husika hapa tanzania
Karibuni mtoe maoni
Shia ni uislam?Siamini katika taasisi wala jumuia za Kiislam.
Uislam aliotufundisha Mtume, dua njema na amani ziwe juu yake, Muhammad haujawacha taasisi wala jumuia. Ametuwachia Uislam tu.
Kama ni taasisi au jumuia zilishaanzishwa zamani sana, nazo ni Uislam na katiba yetu ni Qur'an.
Mnazuiaje Maovu wakati Quran ndiyo inawahasa mtende.. Kuua Jews ni ibada, Kama sio wanafiki wakemeeni Iran ndio chanzo cha kuwapa bichwa arabs kuwa magaidi kwa kuwafunulia Quran eti Jihad.Matamko yw kumbgoja fulani ayatamke sijui nini, hayana faida yoyote.
Tuzuwie maovu kwa Mikono (vitendo), kama hatuwezi tuzuwie kwa mdomo, kila mmoja wetu aseme na kulipinga lililo-ovu na si kungoja fulani atusemee. Kama huwezi hili basi lichukie hilo ovu moyoni mwako, kwa kuzidisha dua, salat na subra ili uyaweze hayo mengine au wanaoyaweza
Unajua kabisa Allah hana uwezo ila unajipa moyo tu... Waislam wanavyomuomba Allah aiangamize Israel isyomkosea mtu kama angekuwepo Tusingekuwa na Israel leo hii maana tokea enzi za Mtume wenu akadanganya eti Allah amewageuza jews kuwa Monkey na Pigs ila Israel ndio anawafanya atakavyo Allah mtazamaji Unasalimiwa na Netanyahu.Allah aendelee kuwawezesha zaidi na Zaidi.