Tunasubiria Kuona Utekelezaji wa "No reform, No Election" ya Tundu Lissu

Bunge linavunjwa mwezi wa saba, hakuna muda wa kubadili katiba katika kipengele cha uchaguzi.

Sasa tuone kama watagoma kushiriki, ni haki yao, ila wasiingilie haki ya wengine kupiga kura
Ni wajinga tu ndio watakaoenda kwenye uchaguzi huo feki na kupigwa jua kwenye foleni huku ccm ikiwa na matokeo yote hata kabla ya siku ya uchaguzi.
 
NO REFORMS NO ELECTION ni maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA, siyo ya Lissu. Ila ni Lissu ndiye anayeoneka kuiamini zaidi hiyo ishu kuliko wengine wanaopay Lip service tu.

munaichukulia poa sana CCM, CCM haiwezi kufanya reform, na CHADEMA ya lissu wakisusa uchaguzi wanakwenda kujimaliza.
 
Lissu akiingia kwenye uchaguzi mkuu,hawezi kupata hata mbunge mmoja!
So ni mbinu za kukimbia uchaguzi na kuanzisha vurugu.
 
Watu sio Wajumbe Wala sio Wana Chadema tunaumbukaje kuzidi Mbowe mgombea?
Rudia tena kusoma kwenye aya ya pili.
Bwana Lissu almaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama hakuna Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2025.

Sasa sisi Wajumbe tuliompa kura tunasubiria Kwa hamu.kubwa kuona kama atasimama kama.mgombea Urais Kwa Katiba hii hij na Tume hii hii au atatumiza ahadi yake ya kuvuruga uchaguzi?

Tuko palee tunasubiria Kwa hamu na gamu

View: https://www.instagram.com/p/DFHlY86RWrU/?igsh=MTZhcXk3N3F0NmpuNA==
 
Bunge linavunjwa mwezi wa saba, hakuna muda wa kubadili katiba katika kipengele cha uchaguzi.

Sasa tuone kama watagoma kushiriki, ni haki yao, ila wasiingilie haki ya wengine kupiga kura

Punguza sauti ongea taratibu.
 
Bwana Lissu almaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama hakuna Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2025.

Sasa sisi Wajumbe tuliompa kura tunasubiria Kwa hamu.kubwa kuona kama atasimama kama.mgombea Urais Kwa Katiba hii hij na Tume hii hii au atatumiza ahadi yake ya kuvuruga uchaguzi?

Tuko palee tunasubiria Kwa hamu na gamu

View: https://www.instagram.com/p/DFHlY86RWrU/?igsh=MTZhcXk3N3F0NmpuNA==

Kinachonishangaza wote wanaoumia mioyo kwa Lisu kuchaguliwa ni wale wa CCM; huku CHADEMA hata wale waliokuwa wanamshabikia Mbowe wamekubali kuwa ni Demokrasia, hata Mbowe kafurahi, sasa hii inaonyesha nini?

Maana yake CCM wanaona aibu sana kwa nini wao hawana Demokrasia. Sasa badala ya kujifunza wanaanza fujo.
 
Kazi ya CCM ni kuchochea Kuni ,Kwa nini waumie?
 
Kuchochea kuni huku, kwa nini msichochee kule kwa yule aliyejichagua ati yeye ndiyo ataendelea mwaka 2025? Huko ndiyo mngekua makini. Unafikiri kuna mtu atabaki huko baada ya kuona hii Demokrasia? Hata polisi wamefurahi, nao hawatawasikiliza CCM
 
Kule Kuni za nini wakati kitabu kimefungwa? Tunasubiria kumuapiaha tuu.

Huku mnakotafutana ndiko tunachochea kuni,.
 
Bwana Lissu almaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama hakuna Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2025.

Sasa sisi Wajumbe tuliompa kura tunasubiria Kwa hamu.kubwa kuona kama atasimama kama.mgombea Urais Kwa Katiba hii hij na Tume hii hii au atatumiza ahadi yake ya kuvuruga uchaguzi?

Tuko palee tunasubiria Kwa hamu na gamu

View: https://www.instagram.com/p/DFHlY86RWrU/?igsh=MTZhcXk3N3F0NmpuNA==

Bila mabadiliko tume ya uchaguzi hakuna uchaguzi.
 
Kunguni wa mama Abdul na wahuni wengine wa Lumumba baada ya kumpigia upatu Mbowe na kuangukia pua sasa mmeanza utabiri uchwara.

Pambanieni demokrasia kwenye chama lenu la manyang'au ambapo mnasombwa kwenda Dodoma mnalipiwa chakula na malazi halafu mtu mmoja anajiteua kugombea urais kwa kuchapa form 1.

Mjaribu walau kufanya kura za wazi kama hivyo walivyofanya Chadema mtu anashindwa live kwenye sanduku la kura ndio mnaweza kuishauri Chadema kuhusu uchaguzi.
 
Back
Top Bottom