Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

Wacha utoto.
 
Pumba tupu
 
Reactions: Tui
Unampenda huyo so rudi tu muyamalize ila uhakika haitakuwa kama awali maana keshatombwa na wengine baada yako.
Hilo halijaliwaza, katumia hisia tu.

Kama wahuni washamshenyenta ni alama isiyofutika kirahisi.
Akikosa furaha kwa jamaa, atamuomba anaemshenyenta saiv warudiane.

Yule simp pro( bila shaka ni jamaa yetu hapa) ndio atakua mume na huyu anaetazamiwa kuachwa atakua mchepuko.
 
nikitumia darubini yangu, hakika mko under 30,

jua la utosi bado halijwawakia,,
kuna umri ukifika hata usikie mkeo/mmeo kachepuka unaona kawaida tu.

umri ambao huna cha kupote,,

nyie bado kabisa, hata mtoto hamjazaa,
 
penzi lenu limejengws juu ya umbea
Ndio maana wanasikilizia sana watu wanasemaje.
Baada ya mimi kumalizana na ishu za mahakamani, nikajitoa completelly kwenye old circle. Nikahama mkoa, nikabadili namba ya simu, sikitaka kusikia chochote toka kwa yeyote kumuhusu yeye.

I was right, maana alipogundua sina touch na old life wala hakuna watu ambao wana contact na mimi from my past life, akaanza kupitisha maneno kwa wake wenzie (mashemeji zangu/wake wa ma bro) mwanzoni zikawa zinafika, kisha nikawapiga pini na wao, wakampotezea.

Hali ilipokua shwari nikampa namba ya simu kwaajili ya watoto, na my life is now coolly lived
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ