Chungeseee mnininaaaaBaada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni, mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua,nipeni mbinu nifanyeje?
Kwahiyo kwasababu wengi wanafanya hivyo ndiyo halali?Uhalali upi unauzungumzia? mbona watu wanazaa bila ndoa tena ndio wengi kwa sasa wanaofanya hivyo mkuu.
Hujanijibu bado, uhalali upi?Kwahiyo kwasababu wengi wanafanya hivyo ndiyo halali?
moving on mwanzon pale ni jambo gumu sanaaa. Nami lilinisumbua ila kila nilipokua na feel the urge kurudisha moyo nyuma for reconsiliation, nikawa na visualize uzito wa makosa alionifanyia, intention za kuyaharibu maisha yangu alizozilenga, aaaahhh moyo wa nyama unapotea ghafla. Hii ilinisaidia mpaka sasa sioni tena sababu ya kushikilia makosa yake, i just dont want her anymore BY DEFAULT NOWjaribu kukumbuka sababu ya kuachana ina uzito kuliko ya kurudiana
Uhalali wa kutambulika kisheria, na mbinguni๐Hujanijibu bado, uhalali upi?
Kwani hautambuliki mpaka ndoa ?Uhalali wa kutambulika kisheria, na mbinguni
Ndiyo mkuu, Ndiyo maana kuna baadhi ya wanawake wanapewa mimba na kukataliwa na wanaume na hawana cha kufanya kwasababu hata wakienda kwenye sheria kushtaki, watakosa uthibitishoKwani hautambuliki mpaka ndoa ?
Sawa mkuu lakini kwasasa wacha niwe kataa ndoa huku nikijipanga, ila si unajua nitaoa 2028 kama nitakuwepo au huna hiyo habari!Ndiyo mkuu, Ndiyo maana kuna baadhi ya wanawake wanapewa mimba na kukataliwa na wanaume na hawana cha kufanya kwasababu hata wakienda kwenye sheria kushtaki, watakosa uthibitisho
Vizuri, usisahau kunipa mualikoSawa mkuu lakini kwasasa wacha niwe kataa ndoa huku nikijipanga, ila si unajua nitaoa 2028 kama nitakuwepo au huna hiyo habari!
JF yote nitawaalika kina poor brain , mallerina, mzee wa I mean no malice, mshangazi, ndege, na wengineo. Wanangu wote oyaa oyaa wee wanangu gang gang siwezi kuwasahau kama nimetoroka milembe!Vizuri, usisahau kunipa mualiko
Haya mkuu, siyo mbali 2028 umeshaanza kujipanga lakini?JF yote nitawaalika kina poor brain , mallerina, mzee wa I mean no malice, mshangazi, ndege, na wengineo. Wanangu wote oyaa oyaa wee wanangu gang gang siwezi kuwasahau kama nimetoroka milembe!
๐
Mimi sio matofali sijajipanga, natafuta hela niliipoteza kama bilion3.Haya mkuu, siyo mbali 2028 umeshaanza kujipanga lakini?
๐๐zitafute mkuu maana wageni waalikwa tunataka tule kujigaragaza na tunywe hadi nyingine tuziogeMimi sio matofali sijajipanga, natafuta hela niliipoteza kama bilion3.
Bila mchango hulambi kitu !zitafute mkuu maana wageni waalikwa tunataka tule kujigaragaza na tunywe hadi nyingine tuzioge
Mchango ntatoa mkuu kwani mimi nimekataa๐๐Bila mchango hulambi kitu !
I mean no malice to wageni waalikwa ๐
Hapo sawa haha niliona dalili za kukataaMchango ntatoa mkuu kwani mimi nimekataa
Siwezi kukataa mkuuHapo sawa haha niliona dalili za kukataa
๐