Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

Ulimpa namba ya simu kwa ajili ya watoto kivipi?
 
nikitumia darubini yangu, hakika mko under 30,

jua la utosi bado halijwawakia,,
kuna umri ukifika hata usikie mkeo/mmeo kachepuka unaona kawaida tu.

umri ambao huna cha kupote,,

nyie bado kabisa, hata mtoto hamjazaa,
Huo umri utakuwa unaanzia miaka 80 kwenda mbele huko
 
Tumia mbinu ya 4:2:3:1 halafu kabia juu kama klopp, ulete mrejesho.
 
Mtoto angekuwa na miaka sita ungetumia mbinu gani ili mwanao apate huduma?
Wewe jua tu hivyo, siko hapa kueleza everything. But jua tu, nilkkua na watoto wa miaka 14, 9, 7 na 2 years. Na walikua wanapata huduma na wakiugua najua na natuma pesa bila hata kuwasiliana na mama yao..hata mtoto asipofika shule nilikua najua
 
We mfanye Sex toy tu sio mtu tena huyo, huo ndo ushauri rasmi.
 
siombei kuachana ikiwa nitakuwa mwanandoa Ila kuachana turudiane afu huku unajua muda alokuwa hampo pamoja alikuona lofa tuu Tena fala daaah 🥺
 
Wewe jua tu hivyo, siko hapa kueleza everything. But jua tu, nilkkua na watoto wa miaka 14, 9, 7 na 2 years. Na walikua wanapata huduma na wakiugua najua na natuma pesa bila hata kuwasiliana na mama yao..hata mtoto asipofika shule nilikua najua
Bruh adjee, vipi ulifanikisha ishu yako ile maake ulisema mwishoni mwa juma hili utatupa updates !
 
Kwanini umeamua kujitesa mkuu?
Mwambie nakupenda turudiane


Kumbuka ku check hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…