Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

Yan ushadinywaa huko wee nani akurudie mm ningekuwa huyo jamaa nisimrudia demu aliyeenda kudinywa huko hadi kachoka
 
Duu
 
Utoto una mikingamo sana. Anyway wakikua wataacha
 
Piga nae story, kuhusu mapenzi yenu ya nyuma hasa zile scene za furaha ata kwa saa 1
 
Ningekuwa ni Mimi ningeangalia jambo hili Je! Nani alimkosea mwingine?? Kama ni Mimi hakika nitakwenda na kumwambia anisamehe na turudiane ila kama ni yeye n muhimu aniombe msamaha ili turudiane
 
VUTA SUBLA adi✍️ATAKAPO UMWA au AKIPATWA NA TATIZO nenda kamuone ,utakapoenda kumuona beba vile anavyovipenda najua ataelewa nini umemaanisha..(usisahau kumkisi hatakama ukakuta watu 200)ujasiri wako utamfanya ajiogope na kukuona wewe ndie staring wa muvi
JITAIDI KUA MVUMILIVU ILA ISIPITE X-mass/mwakampya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…