Tunataka Paul Makonda awe accountable kwa matendo yake ya kuvunja haki za binadamu

Tunataka Paul Makonda awe accountable kwa matendo yake ya kuvunja haki za binadamu

Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Watu wajitokeze kupeleka malalamiko kwa wale waliotendewa, atakuwaje accountable wakati watu wamenyamaza kimya?

Ila kati ya watu waliochafua utumishi wa umma hapa nchini, bashite na sabaya ni namba moja. nilishawahi kuongea siku moja kwamba Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema. ukiwa na kiburi its just a matter of time, Mungu atakushusha.

Sasahivi Sabaya na Bashite wapo chini kabisa mmoja mfungwa mwingine hata ubalozi hana...kina Nape Nauye waliosimamia ukweli bado wapo mjengoni.
 
Bashite is just a matter of time before he is indicted!!
bashite anatakiwa kuwa indicted. na jinai haifi. pia mali zake na majumba kule mwanza na hapo dsm kuna siku vitanyang'anywa tu. hivi wale walioporwa mipesa si wajitokeze wachukue mpunga wao, sasahivi hana nguvu yeyote.
 
Bashite hapendwi hata na Lumumba mzee, tuwe wakweli. alifanya uchafu mwingi sana na alikuwa na kiburi kama mungu mtu fulani hivi. no wonder shuleni alikuwa ziro.
Alitukana kila mtu, akiamini yeye ni mtoto pendwa wa jamaa! Lumumba hapendwi, upinzani hapendwi pia, ana hali mbaya
 
Ni wale wale...Goli la mkono umelisahau. All in all, angalau hakuhusika kupoteza UHAI wa watu!
goli la mkono la Nape lilikuwa la kisiasa zaidi kuliko mtu aliyetesa nafsi na kupora magari na mipesa. ile clip ya clouds hadi umoja wa mataifa wanayo. siku kesi ikianza hadi Pompeo atakuja kutoa ushahidi kwasababu watu wengi wanamtamani balaa.
 
Back
Top Bottom