Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
pamoja na allegations zooote hadi za Tundu Lisu, mtu aachwe bila uchunguzi?Mkuu ipo siku ukilala ukiamka utaamka na habari ya Makonda akiwa rumande.Trust me kipo kinachoendelea chini kwa chini wewe ni mtu mdogo sana kuwa na infos.