Tunataka Paul Makonda awe accountable kwa matendo yake ya kuvunja haki za binadamu

Tunataka Paul Makonda awe accountable kwa matendo yake ya kuvunja haki za binadamu

Huko ulaya na amerika unakoomba msaada wenyewe wanafanya vitu vichafu kupita vya makonda. Hawa wazungu tupunguze kujipendekeza jamani
 
Atachomokaje sasa hapa.
1.Matumizi mabaya ya madaraka
2.Kufoji vyeti na kuibia serikali kwa kujipatia ajira
3.Upotevu wa watu
4.Kuwanyima watu haki ya kuishi
5.Kuvamia na kuharibu ( ofisi za cloud )
6.Udhalilishaji hapa kubambika watu kesi za madawa, uhujumu uchumi nk.
7.Kutishia kuuwa hii kwa wakosoaji
8.Kujipatia pesa kwa vitisho, uporaji,na udanganyifu makonda style.
9.nk
Hata kama mama anamlinda lakini jinai haifi,wajao watamfix tu.
Dunia haijashindwa kufunza watu.
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri.
 
Ogopa Sana kitu kinaitwa laws of nature.Cause and effect principal,do and don't do, social taboo,reap what you sow.
 
Umeulizwa ni nani walikamatwa kwa kuuza madawa? Wako wapi?
Huwajui? Wapo huku Mbezi Beach wameshafugwa tayari miaka kibao na wengine bado kesi zao zinaendelea mahakamani. Kabla ya Makonda kuwa chezesha mchakamchaka hao ndugu zako, Kinondoni palikuwa ni aibu tupu kwa madawa ya kulevya au uko Tandahimba mkuu ya hapa Jiji la Mzizima huyajui? Au walikukosakosa wewe?
 
Hujajibu swali bwashee? Ni kina nani hao?
 
Sihitaji kuwataja majina. Kama huwajui kaa hivyo hivyo au nenda Mahakamani ukaulizie kesi za madawa ya kulevya
Kama hujijui kuwa wewe ni pimbi kaa hivyo hivyo na upimbi wako. Tena nyie kima msiobadilika ndio mnafanya hata hatupati mvua
 
kitu ambacho huwa nasikitika sana, ni pale kuona katika nchi hii bado kuna watu wenye ubongo wa zero brain kama bashite na wanaamini hadi leo ni mtu innocent na kwamba alikua anafanya mambo ya maana. hilo ni jambo la kusiktisha sana na linathibitisha kwamba tunao wananchi wengi sana wanaohitaji msaada wa kisaikolojia kwasababu akili zao hazijakaa sawa.
 
Hujui kitu sisi tunawafahamu majirani zetu. Kaa hivyo hivyo.
Jibu swali taja muuzaji yoyoye wa dawa za kulevya aliyekamatwa na Bashite zero brain. Labda huko usukumani kwenu ila kwa jiji la Dar hakuna kiumbe yeyote aliyefungwa.
 
Jibu swali taja muuzaji yoyoye wa dawa za kulevya aliyekamatwa na Bashite zero brain. Labda huko usukumani kwenu ila kwa jiji la Dar hakuna kiumbe yeyote aliyefungwa.
Vipi unauza au?
 
Atachomokaje sasa hapa.
1.Matumizi mabaya ya madaraka
2.Kufoji vyeti na kuibia serikali kwa kujipatia ajira
3.Upotevu wa watu
4.Kuwanyima watu haki ya kuishi
5.Kuvamia na kuharibu ( ofisi za cloud )
6.Udhalilishaji hapa kubambika watu kesi za madawa, uhujumu uchumi nk.
7.Kutishia kuuwa hii kwa wakosoaji
8.Kujipatia pesa kwa vitisho, uporaji,na udanganyifu makonda style.
9.nk
Hata kama mama anamlinda lakini jinai haifi,wajao watamfix tu.
Dunia haijashindwa kufunza watu.
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri.
Sawa
 
Back
Top Bottom