Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Mashoga mnataka haki zenuTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashoga mnataka haki zenuTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Nani yule jela,aliNyinyi wauza madawa aliwanyoosha sana mpaka sasa hivi wengine wako jela wananyea madebe. Naona mmeshindwa kurudi kwenye biashara zenu. Jaribuni kurudi muone cha mtema kuni mkanyee debe kama Gaidi Mbowe hahahahaha...
Ngoja Rizmoja team itakaposhika usukani watamfix.Sio kila sehemu ndumba ni applicable shetani hawezi jua Siri za Mungu.Mganga wao aliwadanganya watatawala milele means akitoka baba 2045 anamwachia bashite for life, Hakuna mtu mpumbavu Sana duniani kama mganga ukupa matumaini hewa Ili apige pesa yako.Mategemeo yamegeuka now ni majuto ya upumbavu uliofanyika.Anamlinda kwa sababu alimsifu kwenye bunge la katiba.
Kabisa huyu mtu alivunga haki za binadamu na kuumiza wengi, apelekwe mahakamani.Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tunataka awajibishwe
Hayuko juu ya sheriaEndelea kuota
MBONA TUPO NA BABA YAKO NA MAMA YAKO KATIKA MADAI HAYAMashoga mnataka haki zenu
Huu usemi wa jinai haifi, unamkosesha raha kabisa, maana ameshajua ya kwamba ukimtegemea mwanadamu, ni sawa na kujifichia nyuma ya ganda la karangaJinai aifi hata kama mama anamlinda kwani mama ni mpitaji ajiandae tu
Ukosefu wa raha ndio dhambi yenyewe anayoishi nayo milele hadi atakapoondoka duniani.Ajui Utawala ujao wataingia aliowakosea.Huu usemi wa jinai haifi, unamkosesha raha kabisa, maana ameshajua ya kwamba ukimtegemea mwanadamu, ni sawa na kujifichia nyuma ya ganda la karanga
Hili ni funzo tosha kwa wengine kuwa cheo ni dhamanaUkosefu wa raha ndio dhambi yenyewe anayoishi nayo milele hadi atakapoondoka duniani.Ajui Utawala ujao wataingia aliowakosea.
Leo musiba kawa msiba,watafilisi hadi boksa
Madaraka hayamfai mtu mshambaHili ni funzo tosha kwa wengine kuwa cheo ni dhamana
Kuwakama mashoga au?Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tunataka awajibishwe
Nasikia Makonda siku hizi anakaa Ubungo Msewe tena kwa kujivicha, mara nyingi anajificha kwa kutembelea gari lenye chapa za AYO TV. Na tumbuke kuwa huyu ndo yule aliyesema katika watu wanaokula raha hapa duniani yeye ndo mwenyewe.Watu wajitokeze kupeleka malalamiko kwa wale waliotendewa, atakuwaje accountable wakati watu wamenyamaza kimya?
Ila kati ya watu waliochafua utumishi wa umma hapa nchini, bashite na sabaya ni namba moja. nilishawahi kuongea siku moja kwamba Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema. ukiwa na kiburi its just a matter of time, Mungu atakushusha.
Sasahivi Sabaya na Bashite wapo chini kabisa mmoja mfungwa mwingine hata ubalozi hana...kina Nape Nauye waliosimamia ukweli bado wapo mjengoni.
kwani hana kazi? arudi koromije hapa mjini hatutaki watu wasio na kazi wanaozurura tu. pia ahakikishe anapokuja mjini awe ameoga.Nasikia Makonda siku hizi anakaa Ubungo Msewe tena kwa kujivicha, mara nyingi anajificha kwa kutembelea gari lenye chapa za AYO TV. Na tumbuke kuwa huyu ndo yule aliyesema katika watu wanaokula raha hapa duniani yeye ndo mwenyewe.
Hata baba yako yumo upande wetu naye anataka Makonda afikishwe mahakamani. enjoy your day!Kuwakama mashoga au?
Kwa hiyo unawatetea mashoga na weww umo au kwa kosa lipi?
Endeleeni kupambania sasa sio had mtafte mtu wa kuwasaidiaMBONA TUPO NA BABA YAKO NA MAMA YAKO KATIKA MADAI HAYA