Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naunga mkono hojaTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Watu waliota kwa mkuu zaidi ya huyo, mkuu Retired, na leo imebakia ni historia!Tuliota kwa sabaya and today here we are!
Yupi? Au lile jiwe lililokufa.Mimba ya magufuli na makonda itawatoa roho hapo ufipa
Wabunge wa ccm walimlalamikia sanaBashite hapendwi hata na Lumumba mzee, tuwe wakweli. alifanya uchafu mwingi sana na alikuwa na kiburi kama mungu mtu fulani hivi. no wonder shuleni alikuwa ziro.
aliwaambia wasije kwenye mkoa wake, sasahivi yeye hana kazi na anatakiwa kuwa koromije. alitukana wasio nacho kwamba wasije mjini kama hawajaoga kumbe amesahau kuwa pengine hata maji ya kuoga hawana kwasababu yamekatika na wanaishi maeneo yasiyo na maji au pengien hawana mia tano ya kununua dumu la maji...au waliyonunua machache wameona bora watoto wao waoge na yanayobaki wapikie chakula.hajui maisha. Mungu ni mwema, amemshusha hadi kuzimu.
Mkuu usije kumfanya atorokee kabla ya muda kufikaTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Wewe naona bado upo na hangover ya kifungo cha Sabaya rafiki yako.endelea kuota
Nani kakwambia kuwa watu wamenyamaza?watu wajitokeze kupeleka malalamiko kwa wale waliotendewa, atakuwaje accountable wakati watu wamenyamaza kimya? ila kati ya watu waliochafua utumishi wa umma hapa nchini, bashite na sabaya ni namba moja. nilishawahi kuongea siku moja kwamba Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema. ukiwa na kiburi its just a matter of time, Mungu atakushusha.
sasahivi sabaya na bashite wapo chini kabisa mmoja mfungwa mwingine hata ubalozi hana...kina Nape nauye waliosimamia ukweli bado wapo mjengoni.
Upo sahihi sanaJinai aifi hata kama mama anamlinda kwani mama ni mpitaji ajiandae tu
Mnamsagia kunguni DABTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Yes bora uibe mali za umma ila sio kuondoka na damu ya mtu itakutafuna maisha yako yote.Fanya makosa yote usije watu, kinachosumbua baadhi ya wapendwa awamu ya 5 ni kudhuru uhai
Anamlinda kwa sababu alimsifu kwenye bunge la katiba.Jinai aifi hata kama mama anamlinda kwani mama ni mpitaji ajiandae tu
Huyu msenge aliyewachukia wasenge wenzake ni wa kunyonga au kupiga risasi mtaani na kuondoa kumbukumbu mbayaTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
orodhesheni makosa yake hapa tuyajuwe, sio mnahukumu tu, na kuna wengine humu ni bendera fuata upepo, ukimuuliza kwann unamchukia makonda? atakujibu hana sabbu au anamchukia sabbu fulani kamchukia.
huo ujinga ndiomaana mnaonekanaga mazezeta, huyo makonda alipigwa spana kutokanyaga ardhi ya USA sabbu ya kuwashughurikia wale wenye tabia zakishenzi yaan mashoga , hapo ndpo makundi ya watetez wa haki za watu yaliibuka na kumuona kama mkatiri uku yakisaidiana na wajinga wachache kukusanya mapungufu yake ili aonekane mbaya machoni pa wengi, mbaya zaid jamaa aligusa maslahi ya wakubwa kwenye connections za madrug dealers na hapa ndpo tatzo lilipokuwa kubwa, maana wengi wenu mna ndugu wapiga dili na hamjui, basi kwakuwa mnahongwa vijisent na ndugu zenu hao msiojua pesa wanapata wapi, na walipokipata chamoto mkaungana na wahuni wenu kumpigana na bwana zero certificate
nikweli jamaa alikuwa na mapungufu na majivuno lkn haiondoi ukwel kuwa alikuwa na utu na uwajibikaji kulko chawa yeyote wa Samia ktk uongoz huu wa sasa kuanzia yule chawa pm mpka nanilii..yaani kiufupi watu wanaomchukia huyo bwana hawana sabbu za msingi zaid ya wivu na husda, mwenye ushahidi wa uovu wa makonda aje hapa aorodheshe majanga ya huyu bwana, na hakikisha unapoorodhesha wew pia uwe mwema na uwe umetenda mema kumzidi yeye...na ndvyo ilivyo USA hawawez mpenda mtu anaeharbu maslahi yao