Watu wajitokeze kupeleka malalamiko kwa wale waliotendewa, atakuwaje accountable wakati watu wamenyamaza kimya?
Ila kati ya watu waliochafua utumishi wa umma hapa nchini, bashite na sabaya ni namba moja. nilishawahi kuongea siku moja kwamba Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema. ukiwa na kiburi its just a matter of time, Mungu atakushusha.
Sasahivi Sabaya na Bashite wapo chini kabisa mmoja mfungwa mwingine hata ubalozi hana...kina Nape Nauye waliosimamia ukweli bado wapo mjengoni.