Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamojaNdio maana tunapigania katiba mpya kuondoa ujinga Kama huu
Ndugu Mpwayungu Village!!Naomba niseme kitu kimoja, ccm wana political league za kishamba sana, yani wanafanya kututisha tu eti tusifanye mikutano ya kisiasa kisa wanaona tutawananga nakuwaanika mchana kweupe uchafu wao. Sisi kama Chama tulikuwa tunajipanga tu kimkakati ni lini tutaanza mikutano maana mikutano Ni haki yetu hatufati kauli ya Rais tunasoma katiba inasemaji juu ya mikutano ya kisiasa.
Hata asingeruhusu ni yeye mwenyewe wala hatukuwa tunawaza hilo sisi tulikuwa tunahitaji katiba Mpya tu. Kwani tukifanya mikutano ya vyama vya siasa watatupeleka Wapi? Watashtaki Wapi? Watatufunga Kwa kifungu kipi.
Sisi hatutafuti huruma tunataka haki zetu nasio Kwa kuomba bali Kwa lazima maana ni GOD given. Huwezi kutepelekesha kizembe tu View attachment 2467812
Nilimwona punguani kwakua angekuwa na huruma na wananchi angeibadili na kuipa nguvu Kwa wananchiNdugu Mpwayungu Village!!
Mwl Nyerere aliposema KATIBA iliyopo inampa mwanya Rais kuwa DICTATOR ulielewaje?
Ndo ukubali kuwa Katiba ndo Ile Ile haijabadikika.Nilimwona punguani kwakua angekuwa na huruma na wananchi angeibadili na kuipa nguvu Kwa wananchi
Nimekuelewa, mimi nashauri msifanye mikutano ya hadhara ya siasa hadi siku mkijisikia wenyewe bila kupangiwa na RaisNaomba niseme kitu kimoja, ccm wana political league za kishamba sana, yani wanafanya kututisha tu eti tusifanye mikutano ya kisiasa kisa wanaona tutawananga nakuwaanika mchana kweupe uchafu wao. Sisi kama Chama tulikuwa tunajipanga tu kimkakati ni lini tutaanza mikutano maana mikutano Ni haki yetu hatufati kauli ya Rais tunasoma katiba inasemaji juu ya mikutano ya kisiasa.
Hata asingeruhusu ni yeye mwenyewe wala hatukuwa tunawaza hilo sisi tulikuwa tunahitaji katiba Mpya tu. Kwani tukifanya mikutano ya vyama vya siasa watatupeleka Wapi? Watashtaki Wapi? Watatufunga Kwa kifungu kipi.
Sisi hatutafuti huruma tunataka haki zetu nasio Kwa kuomba bali Kwa lazima maana ni GOD given. Huwezi kutepelekesha kizembe tu View attachment 2467812
Mda ungefika tungefanya mikutano, no matter what will happen in front usKatiba ilikuwa inakulinda sawa, lakini ulikuwa tayari kushindana na mwenye nguvu?
Umeshasahau hii hii Katiba isiyotaka Rais ashtakiwe kwa lolote atakalofanya akiwa madarakani, imempa Rais umalkia wa kuamua chochote, na hayupo wa kumpinga...
Ndio maana licha ya Katiba kuruhusu, lakini bado Mbowe alibambikiwa kesi akakaa gerezani zaidi ya miezi sita, na hakuna yeyote aliyefanya chochote kumtoa Mbowe magereza, mpaka Rais malkia alipoamua...
Hizi kelele mnazopiga baada ya kuruhusiwa mikutano ya siasa, ni mihemko tu, inayosababishwa na uamuzi wa Rais kuruhusu mikutano, mmeshasahau kama angeikataa, hakuwepo wa kumzuia kati yenu.
Huwezi kutupangiaNimekuelewa, mimi nashauri msifanye mikutano ya hadhara ya siasa hadi siku mkijisikia wenyewe bila kupangiwa na Rais
Tulikuwa tunajipanga, huwezi kutufosiNdo ukubali kuwa Katiba ndo Ile Ile haijabadikika.
Rais ana maamuzi ya kuamua jambo lolote na hatalazimika kupokea ushauri Kutoka Kwa mtu yeyote.
Mikutano IPO kisheria sawa, kwann haikufanyika Kwa miaka Saba?
Mbowe Yuko sawa, amewazidi akili CDM mwendokasi.
Wapi!!!Tulikuwa tunajipanga, huwezi kutufosi
Nina shaka na uadilifu na upeo wa wanaojiita wapinzani ambao wanaponda hatua iliyofikiwa leo. Tuliona jinsi katiba hii ilivyomfanya Rais wa awamu ya tano kuwa dikteta na mtu hatari na dhalim kwa raia wake kwa kujua kuwa anaweza kufanya chochote na asiulizwe popote na ndivyo ilivyokuwa. Chaguzi zilivurugwa hadharani,wagombea wa upinzani walitekwa na kupotezwa lakini watu waliufyata. Baada ya uchafuzi ule watu wakahamasishwa waandamane wakaufyata kuogopa kupigwa risasi,sasa leo Rais ambaye ana madaraka yale yale na chini ya Katiba ile ile ameamu kukaa na wapinzai na kulegeza kamba bado watu mnaona walioshiriki kufika hapo ni wasaliti,hizi ni akili za ajabu kabisa. Tunajua kabisa kilichomponza Mbowe hadi kutupwa lupango kwa miezi tisa ni kuhamasisha kudai Katiba Mpya,sasa kama lengo hilo linawezekana kwa kukaa mezani japo inaweza kuchukua muda mrefu kidogo Kwa nini fursa hiyo isitumike kutufikisha tunapotaka kufika?Katiba ilikuwa inakulinda sawa, lakini ulikuwa tayari kushindana na mwenye nguvu?
Umeshasahau hii hii Katiba isiyotaka Rais ashtakiwe kwa lolote atakalofanya akiwa madarakani, imempa Rais umalkia wa kuamua chochote, na hayupo wa kumpinga...
Ndio maana licha ya Katiba kuruhusu, lakini bado Mbowe alibambikiwa kesi akakaa gerezani zaidi ya miezi sita, na hakuna yeyote aliyefanya chochote kumtoa Mbowe magereza, mpaka Rais malkia alipoamua...
Hizi kelele mnazopiga baada ya kuruhusiwa mikutano ya siasa, ni mihemko tu, inayosababishwa na uamuzi wa Rais kuruhusu mikutano, mmeshasahau kama angeikataa, hakuwepo wa kumzuia kati yenu.
Huna tofauti na Majizo weweHuwezi kutupangia
Kuruhusu mikutano ni katiba ndoimetupa hii asali sio Rais, kuzuiwa Kwa mikutano ilikuwa ni jinai ambayo baadae itawagharimu. Remember criminal never die acha mda utasemaNina shaka na uadilifu na upeo wa wanaojiita wapinzani ambao wanaponda hatua iliyofikiwa leo. Tuliona jinsi katiba hii ilivyomfanya Rais wa awamu ya tano kuwa dikteta na mtu hatari na dhalim kwa raia wake kwa kujua kuwa anaweza kufanya chochote na asiulizwe popote na ndivyo ilivyokuwa. Chaguzi zilivurugwa hadharani,wagombea wa upinzani walitekwa na kupotezwa lakini watu waliufyata. Baada ya uchafuzi ule watu wakahamasishwa waandamane wakaufyata kuogopa kupigwa risasi,sasa leo Rais ambaye ana madaraka yale yale na chini ya Katiba ile ile ameamu kukaa na wapinzai na kulegeza kamba bado watu mnaona walioshiriki kufika hapo ni wasaliti,hizi ni akili za ajabu kabisa. Tunajua kabisa kilichomponza Mbowe hadi kutupwa lupango kwa miezi tisa ni kuhamasisha kudai Katiba Mpya,sasa kama lengo hilo linawezekana kwa kukaa mezani japo inaweza kuchukua muda mrefu kidogo Kwa nini fursa hiyo isitumike kutufikisha tunapotaka kufika?