Chadema n chama Makini na chama chenye Viongozi wenye uwezo mkubwa Sana wa kufikiria ,,nafikir kwa wale wenzangu tuliopo chadema toka tunapata akili hili tunalijua ,
Mwenyekiti wetu ni mtu mwenye uwezo mkubwa Sana wa kushawishi na kuona mbali ( KAMANDA MBOWE THE MASTERMIND ,) ,
alichofanya n Real political science ,ameweza kweli kweli the matter of reconciliation ,,
Hakuna asiejua kuwa Katiba hii ya kikoloni imempa mamlaka nakuwa Sana Rais ,anaweza kuamua Chochote na Wala aisifanye Chochote na mtu yoyote hata akitoka madarakani .
John magufuli aliifinyanga kweli kweli Katiba na kujiamulia na kutamani hata pengine tusiwe na vyama vya siasa ,alifunga ,alinunua wapinzani ,Viongozi walitekwa,wapo waliouwawa ,kuzui mkutano ya hadhara ,chaguzi zote ni usanii tupu .n.k
Sasa wewe Kama kiongozi mkuu wa chama Cha siasa ,unakuja na ajenda gani,hatuwe kusema tuingie barabarani kwa sababu bado watanzania hawajaiva kwelikweli ,kila maandamano yakiitishwa ,watanzania hawajitokezi kwenye reactions ,it means bado hawajaacha KUTOKUOGOPA CHOCHOTE ,,,
Kuchoka wamechoka lakn bado wanauoga ,hawajafikia hatua ya mwisho na kumbuka mtaji n wananchi ,,
Sasa n vema tutumie mbinu ya kujenga hoja.kweli kweli na kufanya ushawishi kwa watawala ,na lengo n kuijenga nchi yetu TANZANIA ,SASA MAMBO YAMEELEWEKA [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
TANZANIA IMESHINDA ! DEMOKRASIA IMESHINDA!! CHADEMA IMESHINDA
SASA TUKUTANE JUKWAANI [emoji1][emoji1][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
UHAI WA CHAMA NI WANANCHAMA NA MKUTANO YA KISIASA
HONGERA KAMANDA MBOWE WEWE NI JEMBE [emoji3577][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app