SOFTWARE Tunatengeneza na kudesign logo/website pamoja na android application

Mbowe Kwa hili la maridhiano kaufyata, aondoke tu wanamdanganya
 
Kuruhusu mikutano ni katiba ndoimetupa hii asali sio Rais, kuzuiwa Kwa mikutano ilikuwa ni jinai ambayo baadae itawagharimu. Remember criminal never die acha mda utasema
Uelewe hoja hapa ni kuwa Katiba hii inampa kibri Rais kutokushtakiwa na ndiyo maana aliamua kuinajisi Katiba akijua kuwa hashtakiki, na kumbuka awali aliyekuwa ana kinga ya kutokushtakiwa ni Rais tu lakini JPM kwa kunogewa na madaraka na ili apate washirika wengi katika udhalim wake aliongeza wigo wa viongozi wenye kinga ya kutokushtakiwa. waliongezwa WM, Spika, Makamu wa Rais na Jaji Mkuu, hili lilikuwa jambo la hatari sana, sasa kama Rais ameamua kuvaa utu na kunyoosha mkono wa heri kwa nini ukatae kupokea mkono huo?Kwa sababu kama tukikaza shingi na yeye akavaa uso wa mbuzi mwisho wake ni nini? Siku zote kimbilio la kudai haki ni mahakama lakini tuliona pia kuwa mahakama nayo ilishamezwa na ofisi kuu.
 
Amani haipatikani ila Kwa upanga, wakiweka uso mbuzi tunaweka wa lemi ongala. Tutaingia barabarani nahakuna cha kuficha ni MAPANGA, MAJEMBE, VISU, MAWE, MITI, MACHUMA, BUNDUKI itakuwa liwalo na liwe poteleambali hakuna hasara yoyote anayopata mtu aliyekufa
 
Sasa wao wameona njia sahihi ni hii wewe nawe tumia hiyo njia yako kwani wote tunajenga nyumba moja
 
Upo sahihi kabisa tatizo ni katiba, ila kumbuka kama hii iliyopo inasiginwa na maisha yanaendelea kama kawaida hata hiyo mnayoipigania itasiginwa pia na hakuna kitakachofanyika.

Kuwa na katiba nzuri ni jambo moja ila kuitekeleza kikamilifu ni jambo lingine kabisa.

JokaKuu idawa
 
Mikutano ya hadharani iko KiKatiba ya nchi na Wala sio ruhusanitolewe na Rais au mwenyekiti wa chama. Polisi hawana haki ya kukataza ila kazi yao ni kuhakikisha amani!

Hivyo waTanzania tujielewe tuacheni sifa CCM sio inayoruhusu mikutano kamwe.
Tuko hapa tutasikiza.

Sent from my T810S using JamiiForums mobile app
 
Tusubiri katiba Mpya
 
Wewe sijui Umetoka usingizini au vipi? Katiba inakuruhusu sawa, Sasa ulijaribu kufanya ukafaulu? Katiba iliyopo Rais anaweza akakufanya chochote na hakuna wa kukusaidia, unataka katiba ya aina hiyo?
 
Umesahau Marehemu alipigamarufuku mikutano hadi wakati wa uchaguzi?
 
Wewe sijui Umetoka usingizini au vipi? Katiba inakuruhusu sawa, Sasa ulijaribu kufanya ukafaulu? Katiba iliyopo Rais anaweza akakufanya chochote na hakuna wa kukusaidia, unataka katiba ya aina hiyo?
Vyovyote iwavyo ila Hakuna haja ya kumshukuru
 
Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali.

Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa gharama nafuu ya Tsh; 200,000/tu.

Gharama zinajumuisha;

  • Free .co.tz domain/year
  • Free hosting for 6 months
  • Free SSL Certificate
  • 15 Business Email
  • Full access cpanel
  • Free support etc.

Pia tunatoa huduma ya kusajiri Domain pamoja na kuhost Website kwa gharama ya kuanzia Tsh.3,000/ kwa mwezi.
Wasiliana nasi sasa,

Contacts;
CALL/Whatsap/Sms
0626454253/
 
Ndugu zangu ni vizuri tukawaelikisha wananchi juu ya haya yanayoendelea ndani ya taifa letu eti mikutano ya vyama vya siasa ilizuiliwa.

Hivi mikutano imeruhusiwa kikatiba au ni mtu anaamua alafu na sisi vyama vya siasa tunamsaidia mtawala kwenye maamuzi kwa kukaa kimya na kuufyata mkoa pasipo kutetea katiba yetu ambayo imeruhusu mikutano.

Swali la msingi la kujiuliza ni je tutaweza kweli kuitetea katiba mpya tunayoitaka kama tumeshindwa au tumeufyata mkia ilhali katiba ya sasa imeruhusu mikutano ya vyama vya siasa na tumekubali kuburuzwa kwa matakwa ya mtu.

Viongozi wa vyama vyetu vya siasa wameshangilia sana eti mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa jambo ambalo mm mwenzenu limenipa mashaka makubwa sana na ninapata nguvu na kuhitimisha kwamba nchi haina wanasiasa kabisa ina wachumia matumbo tu.

Karibuni tutafakari sote juu ya haya yote tunayo yasikia na tujiulize wanasiasa tulionao wanaweza kutuongoza kutetea katiba mpya.
 
Magufuli alizuia kwa kuvunja KATIBA likawa ZUIO HARAMU
Rais SAMIA Ameondoa ZUIO HARAMU na kuheshimu KATIBA inayoruhusu MIKUTANO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…