Nakihitaji kabla ya Jumamosi, Fanya hima nikipate Mkuu.Unapata kwa 28,000/= Chief. Karibu sana..
Umenijibu vizuri mkuu.. mimi nimeshawahi kununua travolta kma zako pair 2 kwa 90,000. Jamaa waliniambia vinatoka Ethiopia. Now nahisi walini ingiza king!! Itakua ni kazi yako, ila uzuli vimedumu. Nitakutafuta kwenye hyo number yako. Kama picha za wallet zipo ungeweka piaChief, kwa bei hizo kungekuwa na udalali unadhani ingewezekana.? Kwa taarifa tu ni kuwa, Office nyingi kupata Travota kama hizo si chini ya 45,000/= .
Ila siye unapata at max price ya 30,000/= tu.Hakuna zaidi ya hapo. Labda mpaka gharama za materials zitakapobadilika tena. Ambapo hata mabadiliko yakitokea haitakuwa gharama kubwa sana..
Nataka nyeusi yake size 45 nipo arusha naipata jeNipo Ar nahitaji pair moja ya hii kiatu....No.41 mpk kunifikia itakuwa sh.ngap na nikiweka order leo nitakipata lini??
View attachment 620459
Karibu sana Chief..Kuhusu Wallets bado tunaziboresha maana za mwanzo hazikuwa bora sana. Soon tukikamilisha tutaziweka sokoni.Umenijibu vizuri mkuu.. mimi nimeshawahi kununua travolta kma zako pair 2 kwa 90,000. Jamaa waliniambia vinatoka Ethiopia. Now nahisi walini ingiza king!! Itakua ni kazi yako, ila uzuli vimedumu. Nitakutafuta kwenye hyo number yako. Kama picha za wallet zipo ungeweka pia
Tunakuagizia kwa Bus Chief. Malipo ni ukishapokea mzigo. Siye tutadeal na Office ya Bus husika ambapo watathibitisha kuwa umepokea mzigo.Nataka nyeusi yake size 45 nipo arusha naipata je
Sawa mkuuKyela chief. Soon tutafungua Office hapo mjini. Ila ukihitaji tunakufikishia ulipo maana kuna Agent wetu...
Du, hii kali Mkuu. Maganda ya sendoz..?Daresalaam uko WAP
Na ni ngozi kweli au ni Yale maganda ya sendoz za kimasai zile zilizozoeleka??
Kwa hiyo malipo vpKabla ya Jumamosi unapata. Karibu.!