Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Hiyo avatar yako ulishawahi kujiuliza Ina maanisha nini kwanza?Hayo maswali yenu mnayojibiwa kila muda huwa hamna utulivu wa kuyaelewa.Deal na avatar yako.
 
Hujaziona hata contradiction zenyewe lakini unaanza kulaumu kuwa tuna mawenge.

Nkikupa contradiction hapa wewe utaweza kuzitatua ambae huna mawenge!?
Hakuna migongano.Hicho ndiyo kipimo cha uwezo wako wa tafakuri.
 
Hiyo avatar yako ulishawahi kujiuliza Ina maanisha nini kwanza?Hayo maswali yenu mnayojibiwa kila muda huwa hamna utulivu wa kuyaelewa.Deal na avatar yako.
Jibu maswali yangu,
Unadhani avatar ntaiweka bila kujua maana yake ni nini!?
Na nmeiweka maksudi, sio bahati mbaya.

Avatar haihusiani na mada.
Jibu swali langu ipasavyo
 
Wabunge na majaji Wana haki ya kuvunja sheria?
 
Boss umesoma hayo ili kujinadi na sio kuelewa
 
Alimfavor Yakobo ambaye aliiba haki ya mzaliwa wa kwanza ya Esau lkn eti tunaambiwa usiibe

Yakobo huyohuyo alimcheat anko wake Labani akachukua utajiri wake huku akicngizia ni baraka za Mungu[emoji38]
 
Ili mradi umeamini hayo yametokea kutokana na nguvu za Mungu, kumbe unafahamu uhai wako nao upo mikononi mwa Mungu huyo huyo unayemwita katili. Ninachoona kwako ni kusoma biblia na kudhani unaijua biblia kumbe hujui lolote.
 
Kitendo cha kumuacha mtu anateseka mateso makubwa, wakati Mungu ana uwezo wa kuzuia, hii inatosha kusema "Mungu hayupo" na kama yupo basi shetani kamtawala.
 
It is funny that chombo cha udongo kilichofinyangwa na mfinyanzi kinampangie mfinyanzi how to deal with it anapo ona hakifai.Mimi nadhani ni busara kumuacha Mungu afanye what he sees fit with us.Tutakuwa safer.The following Bible verses speaks it all.

Waumi 9:21-23
21 Au mfinyanzi je! Hana amri juu ya udongo, kwa fungu moja la udongo kuumba chombo kimoja kiwe cha heshima, na kimoja kiwe hakina heshima?
22 Ni nini basi, ikiwa Mungu kwa kutaka kuonyesha ghadhabu yake, na kuudhihirisha uweza wake, kwa uvumilivu mwingi, alichukuliana na vile vyombo vya ghadhabu vilivyofanywa tayari kwa uharibifu;
23 tena, ili audhihirishe wingi wa utukufu wake katika vile vyombo vya rehema, alivyovitengeneza tangu zamani vipate utukufu;
 
Wabunge na majaji Wana haki ya kuvunja sheria?
Mbunge na jaji haishi milele. Mungu anaishi milele.

Utakua ni zwazwa kumfananisha wa milele na wa muda.

Non fair comparison, broo.

Ukitaka kuujua ukuu wa Mungu na Biblia yake, jua kwanza maisha ya ulimwengu wa roho.

Hivihivi utajidanganya ujinga tuu.

Taabu yako nilishakueleza hili tangu huko kabla ila unaendelea kubishana mpaka basi.

Huu uzi ni wa kiduwanzi
 
Mambo ya milele yameingiaje nikikuuliza kuhusu mbwa na paka nani anakula Sana ukaniambia mbwa Hali panya utakuwa umenijibu swali..jibu swali kwa logic sio kilele...milele unaijua wewe
 
🤣 Ulimwengu wa roho haupo...ni kisingizio Cha kutojua vitu bac. Kitu hukijui mwenyewe huwezi kuelezea unapachika ulimwengu wa kiroho..naweza pachika chochote hata why nakunya.. nikasema coz ni ulimwengu wa kiroho..it's nonsense
 
[emoji1787] Ulimwengu wa roho haupo...ni kisingizio Cha kutojua vitu bac. Kitu hukijui mwenyewe huwezi kuelezea unapachika ulimwengu wa kiroho..naweza pachika chochote hata why nakunya.. nikasema coz ni ulimwengu wa kiroho..it's nonsense
"Nothing is nonsense.. if you don't know.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…