Unamatumaini yasiyo na mantiki.Wewe una dini yako (kuabudu matamanio ya nafsi yako) na mimi nina dini yangu (uislam). Tusubiri mwisho tutakuja kuona nani alikuwa kwenye njia ya haki.
Maisha ya duniani ni mafupi mno...hatuna hata miaka zaidi ya 60 ya kuishi katika ulimwengu huu.
Kuna vitu sisi tumevitengeneza harafu tunasema Mungu kaamuru iwe hivi na vile, Maandiko yote katika dini zetu yaliandikwa na binadamu wakati mwingine na wao waliweka hisia ZAO na mitazamo yao. Kwa hiyo tunaposoma tunahitaji kufikiri Kwa kina kabla hujatoa tafsiri yakoMimi sipo katika imani ya ukristo ila nimeona swali lako nikaona nichangie...Kwanini Mungu hana maadili?
Kuwekewa maadili ni jambo linaloonesha kuwa upo chini ya sheria fulani ulizoamrishiwa kutoka katika mamlaka iliyo juu zaidi inaweza kuwa mzazi, serikali, ofisi au hata Mungu.
Miongoni mwa sifa za Mungu ni kuwa yeye ndiye wa mwanzo na wa mwisho, ni mmoja hana mshirika katika utawala wake, ni mkuu na yeye ndiye mfalme na ndiye mshindi.
Mungu ndiye Mkuu kwa maana yake hakuna yeyote kumzidi yeye. Muweza wa kila kitu lakini licha ya hayo bado Mungu amejihukumia mwenyewe kuwa Rehema na huruma yake izidi hasira na ghadhabu zake. Ndio leo hii unaona licha ya viumbe kufanya kila aina ya uovu hapa ardhini bado Mungu anatupa chakula, maji, hewa n.k...anawapa mali watu waovu kabisa ambao laiti kama wewe ungekuwa umepewa hayo mamlaka basi usingewapa watu hao hata tone moja la maji kutokana na ubaya wanaoufanya. Mungu anawapa mpaka wale wanaomkana.
Mungu ndiye mfalme hakuna wa kumpangia, anaamua mambo kutokana na hekima na busara zake ambazo wewe mwanadamu huna uwezo wa kuzielewa hata kidogo.
Mfano anaweza kukupa mtoto kisha akamfisha angali mchanga,kikawaida wewe mwanadamu huwezi elewa hekima zake Mungu ila kumbe huyo mtoto aliyemchukua angali mchanga pengine angekuwa chanzo cha wewe kufedheheka hapa duniani na hata kujuta kwanini ulimzaa...mfano labda huyo mtoto angekua na kuja kuwa Shoga.!!
Mungu kwa elimu na hekima zake anaamua kumfisha angali mchanga then anakupa mtoto mwingine mwema atakae kuja kukufaa baadae. Hakuna ajuae haya isipokuwa Mungu mwenyewe. So Mungu hapangiwi wala haulizwi wala hawekewi uzio wa kutenda (maadili).
Hao watu unaosema walikuwa ni wajawazito,watoto n.k waliogharikishwa wakati wa Nuh. Unajua kuwa Mtume Nuh alitumia zaidi ya miaka 950 kuwaita waelekee katika njia ya Mungu ila waliishia kumdhihaki na kumkufuru Mungu ila Mungu aliwavumilia miaka yote hiyo, mwisho akamwambia Nuh kuwa hata afanye jitihada gani kuwaita hawawezi kuitikia na kuamini na hawatazaa isipokuwa wale ambao nao watarithi ukaidi wa baba zao,hvyo Mungu mwisho akaamua kuteketeza na kuangamiza kizazi chote cha wasioamini.
Nenda kale chakula + nendA chooni.. ukatoe Uchafu.. Mwenyezi Mungu amekulinda.. haujapata Magonjwa kama Cancers+ Ajali+ unapumua hewa ya Bure ya Oxygen..... Think Twice...Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.
Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)
Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)
Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)
Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)
Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)
Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)
Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)
Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21
Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Akithink twice ndo anapata jibu kuwa ni Mwenyezi Mungu amemlinda?Nenda kale chakula + nendA chooni.. ukatoe Uchafu.. Mwenyezi Mungu amekulinda.. haujapata Magonjwa kama Cancers+ Ajali+ unapumua hewa ya Bure ya Oxygen..... Think Twice...
Wewe unamatatizo ya kisaikolojia muone daktari harakaWakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.
Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)
Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)
Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)
Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)
Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)
Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)
Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)
Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21
Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
The man of superior Virtue is not conscious of his virtue, in this way he really posseses Virtue.Uadilifu wako sio wangu. We unahitaji Mungu akuambie usiuwe ndo usiuwe.
Mfano ile''..AKAMWAGIA NJE'',..Hebu tupe story
Je na watoto waliokuwa wadogo walikataa ndo mana akawaua?Soma kisa cha Nuhu utaelewa. Wote walikataa kutii maagizo ya Mungu thus akawaona hawana faida akawauwa kwa maji, kama ambavyo anakuja kuwaua kizazi hiki cha SAsa kwa kukataa kutii amri zake.
Mkuu naomba unisaidie kunieleza hapa🙏🙏The man of superior Virtue is not conscious of his virtue, in this way he really posseses Virtue.
Consequently the man of inferior virtue never loses sight of his virtue, in this way he loses his virtue.
-Lao Tzu
Hakuna mtu anaitwa exekiel kwenye Biblia Takatifu.Kuna sehemu exekiel wanasema mwanamke alikuwa analala na wanaume wenye viungo na kumwaga Kama punda na farasi.
Asante kwa Hoja kuhusu kupigwa katika dini kupo na tunashauri watu watafute ukweli nje ya vitabu vyao QURAN & BIBLE wajifunze vizuri historia kabla ya dini zao kabla hazijaanza, ila katika biblia tunapoWakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.
Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)
Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)
Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)
Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)
Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)
Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)
Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)
Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21
Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Excellent.Mimi sipo katika imani ya ukristo ila nimeona swali lako nikaona nichangie...Kwanini Mungu hana maadili?
Kuwekewa maadili ni jambo linaloonesha kuwa upo chini ya sheria fulani ulizoamrishiwa kutoka katika mamlaka iliyo juu zaidi inaweza kuwa mzazi, serikali, ofisi au hata Mungu.
Miongoni mwa sifa za Mungu ni kuwa yeye ndiye wa mwanzo na wa mwisho, ni mmoja hana mshirika katika utawala wake, ni mkuu na yeye ndiye mfalme na ndiye mshindi.
Mungu ndiye Mkuu kwa maana yake hakuna yeyote kumzidi yeye. Muweza wa kila kitu lakini licha ya hayo bado Mungu amejihukumia mwenyewe kuwa Rehema na huruma yake izidi hasira na ghadhabu zake. Ndio leo hii unaona licha ya viumbe kufanya kila aina ya uovu hapa ardhini bado Mungu anatupa chakula, maji, hewa n.k...anawapa mali watu waovu kabisa ambao laiti kama wewe ungekuwa umepewa hayo mamlaka basi usingewapa watu hao hata tone moja la maji kutokana na ubaya wanaoufanya. Mungu anawapa mpaka wale
Kitabu kinaitwa Ezekiel unabisha soma Biblia yakoHakuna mtu anaitwa exekiel kwenye Biblia Takatifu.
Labda mna kitabu chenu wavuta Ganja
Dini ya ukweli ni ipiAsante kwa Hoja kuhusu kupigwa katika dini kupo na tunashauri watu watafute ukweli nje ya vitabu vyao QURAN & BIBLE wajifunze vizuri historia kabla ya dini zao kabla hazijaanza, ila katika biblia tunapo
muongelea MUNGU wa Biblia tunamaanisha MUUMBAJI wa kila kitu, na tuna maanisha "KINACHO MFANYA MUNGU KUWA MUNGU NI KUFANYA LOLOTE ATAKALO YEYE" zaburi 115:3 inaongelea hilo,....
Sasa MAADILI KATIKA BIBLIA ni KUTII MAAGIZO YA MUNGU wewe umekatazwa kuuwa ila yeye hakuna wa kumkataza kuuwa.. TUNACHO AMINI MUNGU NI MKALI HASA PALE TUNAPOSHINDWA KUFUATA MAAGIZO YAKE
Hivyo tuna obey ambacho Mungu amekataza kiwe kizuri au kibaya machoni PAKO
Pia Biblia inasema hakuna wa kuweza kumuelewa Mungu kwa yote aliyo yafanya.....Muhuburi 8:17
Nafikiri kwa Reference ya Bible alone Hakuna utata kwa Hilo unalosema
Ila ukija kwa Reference ya Kulinganisha Bible na QURAN nafikiri kuna UTATA UKUBWA SANA KATIKA SWALA LA MATAKWA ya MUNGU ni yapi? MBONA kila kitabu cha MUNGU kinapingana na kitabu kingine??
for this reason TUNAKUJA KU CONCLUDE KUWA kuna DINI AMBAZO WATU WAMEPIGWA HATA KAMA WANAONA WANACHOAMINI ni KWELI kwa [emoji817] na HAIWEZEKANI KUPIGWA
Nipe fact sio hadithi za kaleMungu ndiye kiumbe wa Kwanza kujitolea kafara mtoto wake kwa makusudi japo angeweza kuya maliza hayo pasi kumtesa na kumuuwa kwa mateso makali mwanae kipenzi
Kama bill gates na Elon musk na wao Wana matatizo ya kisaikolojia basi wewe kamwone daktariWewe unamatatizo ya kisaikolojia muone daktari haraka
Hahaha bomba la swaliAkithink twice ndo anapata jibu kuwa ni Mwenyezi Mungu amemlinda?
Hao wenye magonjwa wenye ajali cancel Mungu alipoteza SMG yake?
Bac it proves sio neno la Mungu maana kila mtu anaweka chake so siwezi chukulia seriousKuna vitu sisi tumevitengeneza harafu tunasema Mungu kaamuru iwe hivi na vile, Maandiko yote katika dini zetu yaliandikwa na binadamu wakati mwingine na wao waliweka hisia ZAO na mitazamo yao. Kwa hiyo tunaposoma tunahitaji kufikiri Kwa kina kabla hujatoa tafsiri yako
Kwakuwa umesema unaamini bhasi umejieleza vyema, maana kuamini ni kuwa unayo mashaka huna uhakika.wewe umekatazwa kuuwa ila yeye hakuna wa kumkataza kuuwa.. TUNACHO AMINI MUNGU NI MKALI HASA PALE TUNAPOSHINDWA KUFUATA MAAGIZO YAKE
Hivyo tuna obey ambacho Mungu amekataza kiwe kizuri au kibaya machoni PAKO
Bila shaka ni unaamini kuwa Mungu wa biblia ndo muumbaji wa kila kitu, hilo sikupingi kwakuwa unaamini tu.ila katika biblia tunapo
muongelea MUNGU wa Biblia tunamaanisha MUUMBAJI wa kila kitu, na tuna maanisha "KINACHO MFANYA MUNGU KUWA MUNGU NI KUFANYA LOLOTE ATAKALO YEYE" zaburi 115:3
Sasa kama hakuna wa kumuelewa Mungu kwa yote aliyofanya, unamaanisha hata wale wanaodaiwa kuongea nae hawawezi kumuelewa. Hao woye wanaojinasibu utume sjui wameambiwa na Mungu means hao ni waongo.Pia Biblia inasema hakuna wa kuweza kumuelewa Mungu kwa yote aliyo yafanya.....Muhuburi 8:17