Kwahyo watu wote wanaofanya kazi posta wanaoshi kisutu?Mimi nimepangiwa na Serikali kufundisha shule Chanika na ni mwenyeji wa Mwanza. Nifanyaje?
Inasikitisha sana. Yani Jiji lenye watu milioni tano unalazimisha iwe na stendi Moja kama mpanda mjini.Yaani mtu ametoka Morogoro anaenda Sinza, ashukie Mbezi, na wakati gari hilo hilo linakwenda hadi Shekilango!
Kisutu kwa Sasa itakuwa shida.Kama ndio ivyo basi stendi irudi KISUTU. Mbezi mbali.
Kazi ni kipimo cha utu
Viwanja dar vipo nje huko huku mjini pamejaa sana.Unapojenga au unapopanga zingatia location ya kwenda kwenu..
Huwezi ukaishi chanika halafu ni mwenyeji wa mikoa ya kati ..
Kumbuka abiria anafata basi na sio basi linafata abiria mitaani..
Ni kwl lakini kibaha ni bora kuliko chanika na kisemvule,Viwanja dar vipo nje huko huku mjini pamejaa sana.
Mambo ya hovyo sanaInasikitisha sana. Yani Jiji lenye watu milioni tano unalazimisha iwe na stendi Moja kama mpanda mjini.
Mkuu hii umeandika seriously kabisa………. Kwamba raia wote tunaotoka mikoani tukapange mitaa ya usawa wa Magufuli kwasababu siku tukienda makwetu iwe rahisi ???😂😂😂Unapojenga au unapopanga zingatia location ya kwenda kwenu..
Huwezi ukaishi chanika halafu ni mwenyeji wa mikoa ya kati ..
Kumbuka abiria anafata basi na sio basi linafata abiria mitaani..
Mkuu hii umeandika seriously kabisa………. Kwamba raia wote tunaotoka mikoani tukapange mitaa ya usawa wa Magufuli kwasababu siku tukienda makwetu iwe rahisi ???😂😂😂
Vipi kama nafanyakazi Chanika au kigamboni?
Hivi unajua Dar nzima Stand ni Moja tu Magufuli hata hiyo ya Mbagala ni kama za shekilango na ubungo?
Hivi mkuu ukae kisemvule au vikindu malogoro halafu utegemee kupanda basi Magufuli terminal huoni kama ni adhabu?Mkuu hii umeandika seriously kabisa………. Kwamba raia wote tunaotoka mikoani tukapange mitaa ya usawa wa Magufuli kwasababu siku tukienda makwetu iwe rahisi ???😂😂😂
Vipi kama nafanyakazi Chanika au kigamboni?
Hivi unajua Dar nzima Stand ni Moja tu Magufuli hata hiyo ya Mbagala ni kama za shekilango na ubungo?
Nimeandika kwamba unajua kwamba Stand kuu ni mmoja tu Dar ambayo ni Magufuli?Hivi mkuu ukae kisemvule au vikindu malogoro halafu utegemee kupanda basi Magufuli terminal huoni kama ni adhabu?
Hayo maeneo ni ya watu wa kusini.
Ili kurahisisha usafiri wakitaka kwenda kwao.
Angalia wachaga walivyo jipanga njia ya kwao .
Goba,Kimara,mbezi,kiluvya,,nk..
Zingatia location mkuu,ili usije kusumbuwa watu baadae
Stand ya mabasi ya kwenda njia ya kati,dodoma,tanga,songea , ,arusha nk.Nimeandika kwamba unajua kwamba Stand kuu ni mmoja tu Dar ambayo ni Magufuli?
Unajua kwamba hata Stand ya Mbagala ni magumashi kama stand za vituo binafsi?
Unajua kwamba hata mtu anayeishi Vikindu, kisenvule Mbagala akiwa anakwenda Kusini anatakiwa kupandia basi stand kuu mbagala?
Unajua kwamba wachaga walianza kujenga Mbezi Kimara kabla stand haijulikani kabla hata itajengwa huko?
Je unajua kwamba kuna watu wanaishi Vikindu kwasababu wanafundisha Vikindu primary school?
Ukipata majibu……. Oanisha na HOJA yako mkuu
Mtu wa vikindu na kisemvule atapanda basi la kusini mbagala.Nimeandika kwamba unajua kwamba Stand kuu ni mmoja tu Dar ambayo ni Magufuli?
Unajua kwamba hata Stand ya Mbagala ni magumashi kama stand za vituo binafsi?
Unajua kwamba hata mtu anayeishi Vikindu, kisenvule Mbagala akiwa anakwenda Kusini anatakiwa kupandia basi stand kuu mbagala?
Unajua kwamba wachaga walianza kujenga Mbezi Kimara kabla stand haijulikani kabla hata itajengwa huko?
Je unajua kwamba kuna watu wanaishi Vikindu kwasababu wanafundisha Vikindu primary school?
Ukipata majibu……. Oanisha na HOJA yako mkuu
Sasa mm nakuambia mengi tu hayapiti mfano esther luxury haipiti magufuliSidhani. Mfano wako ni irrelevant. Mabasi mengi ya Moshi Arusha yanapitia Mbezi.
Kama hakuna yanayopita huko je unafanyajeKwa nini apande basi la kupitia Bagamoyo wakati yapo mabasi ya kupitia Chalinze-Kibaha- Mbezi??
Nyie watu mnaoihusudu hiyo stendi Magufuli mna ubongo kama wa kuku.
Mimi kwa hili bado nashauri kilichopo sasa sio tatizo kwani tukumbuke abiria wengi hawatoki Mbezi abiria wanatoka mbali na mbezi na wengine wanawatoto. Kualazimisha stendi mbezi ni kuzidi kuwaongezea abiria mzigo wa garama. Kama ni mapato kwani hizo stendi binafsi hakuna malipo wanayolipa kwenye hizo stendi binafsi? Na mbona haya haya mabasi hata ukitoka Ubungo au Manzese yanaingia mbezi? Mimi niombe sana chonde chonde tuaache huu utaratibu maana watanzania wengi wenzangu hali yetu ya uchumi ni ndogo tukumbuke ukilipia gari mfano toka mbeya unalipa ukishuka walau Ubunge wanakuwa wamekusogeza kidogo sasa fikiria ushuke Mbezi una watoto na mizigo unaanza tena tafuta usafiri nauli juu zaidi tutafika? Naomba sasa utaratibu huu ubaki sababu hali ya uchumi wa sisi wananchi ni mdogo . Naamini Kiongozi atapokea na kuzingatia hayaKwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.
Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.
Soma Pia https://www.jamiiforums.com/threads...wiki-moja-kurejea-stendi-ya-magufuli.2461687/
Kwenye maroli na ICD huku achana nako unatikisa meza yenye vinywaji vya gharama.Tuanze na Malori, yaishie Pwani kwenye Dry port , badala ya kupambana na wenye mabasi, kwenda Mbezi!
Kweli kabisa mkuu 😀Kwenye maroli na ICD huku achana nako unatikisa meza yenye vinywaji vya gharama.