Wanaweza kubadilisha hiyo stendi kuwa soko kama sio haitaji la wasafiri wengi kupanda au kushukia hapo.Sijui kama ndani kuna wamachinga mkuu ,nazungumzia miundombinu iliyojengwa kuaccomodate hao visitors wakishuka hapo magufuli ,kama hakuna visitors means hiyo miundombinu ni BURE.
Miundombinu ya One Stop Centre kwa Abiria.
Kuna SGR stendi city center na Pugu, utaamua mwenyewe upandie wapi.Wanaopinga hivi ni wanafiki tu. Hawa hawa utawasikia wanalaumu SGR station kuwa city centre wanasema ingekuwa nje ya mji kabisa. Leo hao hao wanapinga stand maalum ya mabasi kuwa Mbezi. Hii nchi ni kusimamia kwa mkono wa chuma tu ukiwasikiliza watu ambao hata kwenda 100m kufuata zebra crossing wanaona kero hupigi hatua.
Aisee. Kwahio stand nyingi e ubungo ndio itatatua kero ya umbali kwa wakazi wa Dar nzima? Ha ha haKuna SGR stendi city center na Pugu, utaamua mwenyewe upandie wapi.
Waweke stendi nyingine ya mabasi Ubungo.
Sgr station. Ya Pugu iko karibu kwa mtu wa Tegeta au Bunju? Na airport vipi tuhenge ingine maeneo ya Bunju maanake kule kiwalani ni mbali sana.Kuna SGR stendi city center na Pugu, utaamua mwenyewe upandie wapi.
Waweke stendi nyingine ya mabasi Ubungo.
SGR ya city center iko karibu na Tegeta na Bunju. Tukipata watawala wenye akili na maono makubwa zaidi vituo vya SGR vitakuwepo mpaka Bunju na Bagamoyo na Kibaha mjini. Tunakuwa kama vile Tokyo, vituo 800 vya treni za mwendokasi.Sgr station. Ya Pugu iko karibu kwa mtu wa Tegeta au Bunju?
Why not kama serikali inazo hizo pesa?Na airport vipi tuhenge ingine maeneo ya Bunju maanake kule kiwalani ni mbali sana.
Ha ha ha kwa taarifa yako Tegeta hadi Sgr station ni 25km na Tegeta hadi Mbezi Magufuli ni 19km na huko Pugu sgr station kutoka Tegeta ni 40km. Huwezi kuweka vituo vya mabasi ya mikoani kama daladala.SGR ya city center iko karibu na Tegeta na Bunju. Tukipata watawala wenye akili na maono makubwa zaidi vituo vya SGR vitakuwepo mpaka Bunju na Bagamoyo na Kibaha mjini.
Ha ha ha vichekesho. Duh kazi ipo.Why not kama serikali inazo hizo pesa?
Kama kuna watu binafsi walio tayari kujenga Airport bunju kama ilivyo kwa kampuni za mabasi wanavyojenga stendi zao basi wanunue eneo wajenge airport huko Bunju.
Nairobi siyo mfano sahihi, wao ndio hovyo kabsaHata ukienda Nairobi, Zambia na majiji mengine duniani huwezi kukuta utaratibu kama huu wa kibingo kila basi lina stendi yake!! hii iko bongo tu sehemu isiyo heshimu taratibu. Tuache mazoea ya kishamba.
Seoul yenye ukubwa sawa na Dar ina vituo 5 vya bullet train. Dar es Salaam ina viwili tu, bado vitatu tufanane na Korea😁Ha ha ha kwa taarifa yako Tegeta hadi Sgr station ni 25km na Tegeta hadi Mbezi Magufuli ni 19km na huko Pugu sgr station kutoka Tegeta ni 40km. Huwezi kuweka vituo vya mabasi ya mikoani kama daladala.
OkSeoul yenye ukubwa sawa na Dar ina vituo 5 vya bullet train. Dar es Salaam ina viwili tu, bado vitatu tufanane na Korea😁
Kweli ni akili ya abunuasiItasaidia nini magari yote kushusha hapo Stendi ya Magufuli?
Kuna tatizo gani mabasi yakishusha na kupakia abiria kwenye stendi zao binafsi?
Zitakuwa ni akili au matope kama bus linatoka kwenye yard/Ofisi yake yake Ubungo na kuna abiria wanasafiri na hilo bus wanaoishi hapo ubongo na Sinza kutakiwa kupanda daladala hadi Magufuli ndio wakapakie hilo bus lililoenda tupu bila abiria??
Abiria wakiwa served ndiyo biashara inaendelea mkuu.Kwenye post ya juu hapo umesema Biashara za pale zitakufa . Means sababu Yako ya bus zote kushukia hapo ni ili wafanya Biashara wanufaike na SI abiria kua well served
Hatutaki kununua bagia zenu na mayai yenu stendi.Abiria wakiwa served ndiyo biashara inaendelea mkuu.
Ulimuelewa RC alivyosema? Lengo ni kuondoa mabus makubwa ndani ya mji.Ticket tunakata online tangu zamani sana ni ipi sababu ya msingi mfano abiria wa temeke kwenda mpaka mbezi wakati anaweza kupandia bus hapo hapo temeke bila usumbufu
Busara itumike maana Magufuli Bus terminal iko pembezoni sana mwa mji hivyo inafanya ugumu wa kufikika kwa urahisi kwa wakazi DSM wanaoishi maeneo kama Chanika, Msongola, Mbande na Kigamboni.Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.
Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.
Soma Pia https://www.jamiiforums.com/threads...wiki-moja-kurejea-stendi-ya-magufuli.2461687/
Hizo mini bus zina kitu gani kipya tofauti na mabasi yenyewe?Wenye mabasi wanatakiwa wawe na mini bus ambazo zinakuwa zinabeba watu kuwapeleka mjini..
Na sio kuweka kambi au ofisi mjini...
Mbona tanga wameweza?