Tusifanye mambo kwa kuiga fulani tufanye mambo fulani atuige kwa kuangalia manufaa mapana kwa jamiiHata ukienda Nairobi, Zambia na majiji mengine duniani huwezi kukuta utaratibu kama huu wa kibingo kila basi lina stendi yake!! hii iko bongo tu sehemu isiyo heshimu taratibu. Tuache mazoea ya kishamba.
Huu utaratibu utaongeza gharama zisizo za lazima alafu kwa upande wa mizigo ya abiria itapotea sana, na mingine kuharibika, kutokana na kutokana na kuhamishwa hamishwa, yani mimi niache mzigo pale shekilango afu shattle iuchukue mzigo mpaka mbezi mwisho, ndo upakiwe, hizo process unaweza chukulia pouwa ila katika operations sio mchezoTiketi kakate kwenye hizo ofisi ila ukitakata kupanda gari lazima uende stand Kuu ndiyo utakuta hayo magari.
Hawajazuia hizo ofisi kuoperate mitaani ,wamezuia mabus kupaki huko mitaani badala ya STAND KUU.
Wapokee hata hiyo mizigo hapo ofisi ndogo na kuchukuliwa na carry kwenda stand kuu kwa ajili ya kuipaki.
Hiyo kweli. Mfano Basi za Mtwara wanataka zikatishe jijini zikiitafuta Kilwa road?Nonsense!...yaani jiji kubwa kama dar mnataka mabasi toka mikoa yote yafikie kwenye stand moja!?...jiji kubwa kama hilo linatakiwa liwe na stand kubwa kadhaa kulingana na mabasi yanapotoka
Town min buses zinafanya safari za kutoa abiria stand terminal kwenda mjini,,Hizo mini bus zina kitu gani kipya tofauti na mabasi yenyewe?
halafu pia inatusaidia kutupeleka town moja kwa moja kuliko kutuacha pale stendi.Mnataka tu kuongeza ugumu kwa watanzania, kwanza hyo stendi haitatosha ku hold mabus ya kwenda mikoa yote
Huo ndy utaratibuHuu utaratibu utaongeza gharama zisizo za lazima alafu kwa upande wa mizigo ya abiria itapotea sana, na mingine kuharibika, kutokana na kutokana na kuhamishwa hamishwa, yani mimi niache mzigo pale shekilango afu shattle iuchukue mzigo mpaka mbezi mwisho, ndo upakiwe, hizo process unaweza chukulia pouwa ila katika operations sio mchezo
Kwa sababu 90% ya watu wanaoenda Airport wanaenda na usafiri wao gari zao binafsi au za kukodi wakati 90% ya wanaoenda kupanda mabasi wanatumia daladala na boda.Mbn sijawahisikia mtu analalamka bandarini mbali?
Au airport mbali?
Kwa nini hizo buses zisiwafikishe watu mjini kabisa??Town min buses zinafanya safari za kutoa abiria stand terminal kwenda mjini,,
Then kila mtu anashuka anapanda usafiri wa kwao.
So hoja yako ni ipi?Town min buses zinafanya safari za kutoa abiria stand terminal kwenda mjini,,
Then kila mtu anashuka anapanda usafiri wa kwao.
Mbn sijawahisikia mtu analalamka bandarini mbali?
Au airport mbali?
.
Kumbe issue ni bodaboda kupata fedha Zaidi.Naunga mkono hoja ,mabasi yarudi stand kuu ,abiria waende kupakia stand ya magu ,hizo sehemu zibaki kama ofisi tu zao za kukatia tiketi.
Bodaboda/Bajaji/Daladala watapata fedha zaidi.
Mbona Nairobi wanastendi yao ya muda mrefu?. Inaitwa machakos bus stand ya zamani sana miaka ya 1980s sema wameruhusu mabasi mengine kuwa na stendi zaoNairobi kuna stendi gani umefika river road? nenda utaona uliza hata kidia na wenzie wanapaki gari wapi, Tanzania tuko mbali sana.
Nadhani mabus hayapark tu Bali kupakia abiria. Halafu tuangalie maslahi ya abiria pia.Tiketi kakate kwenye hizo ofisi ila ukitakata kupanda gari lazima uende stand Kuu ndiyo utakuta hayo magari.
Hawajazuia hizo ofisi kuoperate mitaani ,wamezuia mabus kupaki huko mitaani badala ya STAND KUU.
Wapokee hata hiyo mizigo hapo ofisi ndogo na kuchukuliwa na carry kwenda stand kuu kwa ajili ya kuipaki.
Kwa ukubwa wa Dar sidhani. Wangeacha tu pale ubungoKitu kizuri baada ya mda watazoea tu.
Kwani Sasa hivi hayashushi na kupakia hapo stendi?.Hayarundikani, yanashusha na kupakia kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani.
Aiseeh! Tanga si wanakalamika Kila siku stendi haitumiki mpaka wanataka kubadilisha matumizi.Wenye mabasi wanatakiwa wawe na mini bus ambazo zinakuwa zinabeba watu kuwapeleka mjini..
Na sio kuweka kambi au ofisi mjini...
Mbona tanga wameweza?
Mbona ndio wanafanya huo utaratibu kwa Sasa. Kila bus lazima lipite mbezi na kulipa mapatoBusara itumike maana Magufuli Bus terminal iko pembezoni sana mwa mji hivyo inafanya ugumu wa kufikika kwa urahisi kwa wakazi DSM wanaoishi maeneo kama Chanika, Msongola, Mbande na Kigamboni.
Ukifikiria gharama na changamoto ya kusafiri na mizigo (maana wabongo tunajijua huwa hatuna shughuli ndogo tukiwa tunaenda ama kutoka mikoni) inakuwa shida sana kwakweli.
Hili lingefanikiwa kwa 100% ikiwa stand ingekuwa ipo katikati ya mjini ambapo no rahisi kufikika kwa wakazi wa maeneo yote ya Jiji la DSM.
Kama lengo ni kuhakikisha stand haikosi mapato wanaweza wakatemgeneza mkakati wa kuweka ulazima wa haijalishi wapi utaanzia safari yako, ila ni lazima upite hapo Magufuli bus terminal. Naamini hakuna mmiliki atakayekaidi amri hii.
Jibu unalo. Bandari na Airport zinakuwa static tofauti na stendi ya mabasi ipo flexible sana.Town min buses zinafanya safari za kutoa abiria stand terminal kwenda mjini,,
Then kila mtu anashuka anapanda usafiri wa kwao.
Mbn sijawahisikia mtu analalamka bandarini mbali?
Au airport mbali?
.