Ndio nyumba za kuhonga hizii.. sio unahonga ndani ndani huko unakuja kutuvimbia hapa πππunakaa bongo lakini kama uko Brunei vile
Mara dola laki na 70 hela ndogo.Dola laki na 70 ni hela ndogo Sana iyo kwa hapa new York so chini ya dola milioni moja mkuu.
Iko ghorofa ya ngapi tokea ground floor.
Kuna dola 80k hapa mfuko wa Shati nikutafute
Mkiambiwa tafuten pesa, muwe mnaelewa...
alaf utamsikia mbuzi mmoja akinena 'pesa haileti furaha'Ndio nyumba za kuhonga hizii.. sio unahonga ndani ndani huko unakuja kutuvimbia hapa πππ
Ila kama huna dhambi,Nyumba nzuri yenye hewa safi NI KABURI PEKE YAKE.