House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali
Nyumba ipo vizuri pia ipo katika eneo zuri la kiungwana a.k.a kishua. Ipo peke yake katika uwanja.

Kodi shs 800,000 kwa mwezi. Kuiona tuwasiliane kwa simu 0784225000
WhatsApp Image 2022-01-08 at 3.03.14 PM (1).jpeg
 
Iinavutia, Bora na ya Kisasa.

Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje ikuwa na vyumba vitatu vya kulala vyote vinavyochojitoshereza (masters), sebure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula. Bei $ 170,000 maelewano yapo. Kuiona wasiliana nami kwa simu/whatsapp +255784225000

IMG_0360.JPG

IMG_0361.JPG

IMG_0362.JPG

IMG_0363.JPG

IMG_0364.JPG

IMG_0365.JPG

IMG_0366.JPG

IMG_0368.JPG

IMG_0369.JPG

IMG_0370.JPG

IMG_0371.JPG

IMG_0372.JPG

IMG_0374.JPG

IMG_0375.JPG
 
Dola laki na 70 ni hela ndogo Sana iyo kwa hapa new York so chini ya dola milioni moja mkuu.

Iko ghorofa ya ngapi tokea ground floor.

Kuna dola 80k hapa mfuko wa Shati nikutafute
 
Mkiambiwa tafuten pesa, muwe mnaelewa, na hizo ndizo nyumba anazotakiwa kuishi mtu na mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23].

Just imagine umelala kwa bed kama lile na mdirisha ukikutizama uku hewa nzur na safi ikiwa imetanda room[emoji12].

Hizo stress unapataje sas?.

Tutafuten pesa jaman , kuishi dunian kama paradiso inawezekana kabisa
 
Back
Top Bottom