Hivi unaposema unauza ni kwamba nikinunua inakuwa yangu kabisa? Je, baadae nikiamua kubomoa itakuwaje? Maana si ni mali yangu? Hao wa juu itakuwaje
😃😃😃😃 vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Wenye nazo changamkia fulsa,
Hiyo 190M,bila shaka ni kwa mwaka?
 
Masharti kwenye nyumba yangu?
Hahahah unajua hata maisha yako yanamilikiwa na serikali mkuu?kama huamini angalia mtu akijaribu kujiua halafu ikashindikana kwanini serikali inamfunga wkt maisha ni yake.?
 
Miliki nyumba hii leo kwa pesa taslim au kwa mkopo kutoka Benki. Nyumba ina mvuto wa ndani, bora na ya kisasa. Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kinajitoshereza (En-suite), vyumba vingine viwili vina shea bafu na choo. Ina jiko la kisasa ambalo lina kibaraza chake, sebule ambayo nayo ina kibaraza na mahala pa kula. Nyumba ipo ghorofa ya kwanza.

Matumizi.
Ukimilki hii nyumba unaweza kuitumia kwa kuishi mwenyewe au ikiwa utaamua kuikodisha basi kwa sasa utaikodisha kwa kodi ya 1.2mil kwa mwezi.

Kuiona kwa ajili ya kuikagua tuma ujumbe kwa whatsapp/sms au piga simu +255755312233.

 

Attachments

  • IMG_0762.JPG
    7.3 KB · Views: 6
  • IMG_0766.JPG
    21.7 KB · Views: 6
  • IMG_0771.JPG
    20 KB · Views: 6
  • IMG_0774.JPG
    10.4 KB · Views: 7
  • IMG_0778.JPG
    20.9 KB · Views: 7
Uizwaji wa nyumba umetamalaki awamu hiitena maeneo yanayodhaniwa ni ya wenye uafadhali wa maisha.

Anyway mimi ni nani hata niwapangie wenye nyumba namna ya kuzitumia
 
Kwa kodi ya milioni 1.2 kwa mwezi, nihitaji miaka takribani 20 kurudisha 230M... biashara kichaa!
Kwa hoja hiyo naweza kujua kashaulo ni mtu wa namna gani. Pole sana.
 
Kitomai hii nyumba ipo katika ghorofa ya ngapi
 
Kitomai hii nyumba ipo katika ghorofa ya ngapi
Kwenye real estate ukinunua nyumba kama haiwezi kurudisha pesa kwa miaka 12 ni hasara sana. Na katika miaka 16 unapangisha hela hairudi basi itume kitu kingine. Inamfaa atakayeishi mwenyewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…