House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali
akifanya ivyo, atameza P2 tenga zima kwa lazima

mzeya huna shida hiyo yote, wewe cha msingi mkaribishe hapo hakikisha unakuwa na nyama zakutosha na savannah nyingi, walivyokuwa waroho atagigida nyingi basi wewe hapo wajimegea style unayotaka wewe. hana ujanja tena hapo
 
~ 2 Bedrooms.

~1 Bath and Toilet.

~Price: TZS 900,000.

~ Payment terms: Six months

~Agent fees applies,

Please call or whats to arrange viewing or further information 0755312233

PHOTO-2022-01-13-22-47-32.jpg


PHOTO-2022-01-13-22-47-33.jpg


PHOTO-2022-01-13-22-47-34_1.jpg


PHOTO-2022-01-13-22-47-34.jpg


PHOTO-2022-01-13-22-47-35.jpg


PHOTO-2022-01-13-22-47-36.jpg


PHOTO-2022-01-13-22-47-37.jpg
 
Unavutia, Bora na wa Kisasa ( wa kifahari)
Mjengo una mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje ukiwa na vyumba vitano (5) vya kulala vyote vinavyochojitoshereza (masters), sebure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula, sebure ya nje kubwa kwa ajili maongezi ya familia. Bei 580mil maelewano yapo.

Kuuona mjengo huu au kwa maelezo ya ziada wasiliana nami kwa simu/whatsapp+255755312233

993d9d80-dab8-4c46-b8ed-43b042a45d37.JPG


1e020031-197f-4360-b107-03cb9d261d34.JPG


5bbf93f2-ebb8-4ced-bbb3-b1ac6820add4.JPG


09c2886f-2b06-4d4c-8822-cf459c684dc7.JPG


9fb4f428-f396-48c8-8e4b-c26e3e4402aa.JPG


52d47343-3942-412b-81ca-162c2c8ee187.JPG


5821d582-02a1-431f-9026-7cb0dae3d748.JPG
 
Mkiambiwa tafuten pesa, muwe mnaelewa, na hizo ndizo nyumba anazotakiwa kuishi mtu na mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23].

Just imagine umelala kwa bed kama lile na mdirisha ukikutizama uku hewa nzur na safi ikiwa imetanda room[emoji12].

Hizo stress unapataje sas?.

Tutafuten pesa jaman , kuishi dunian kama paradiso inawezekana kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena usisubutu kabisa watakuloga hawa walivhokuwa wanahaha kupata waoaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atakutegeshea apate mimba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa. Nyie nikuoelekwa kwenye chumba self na sebule kule chanika. Kuna mtu anauza kiwanja million moja wacha nikachukie hicho. Ndio litakuwa chimbo langu. Hivi uber zinafika huko?
 
Kweli kabisa. Nyie nikuoelekwa kwenye chumba self na sebule kule chanika. Kuna mtu anauza kiwanja million moja wacha nikachukie hicho. Ndio litakuwa chimbo langu. Hivi uber zinafika huko?
Sasa wee unadhan nan mjinga apelekwe ktk huo mjengo unaouzwa afu akae kizembe? Unapigisha limbwata tangu mwanaume had babu na bibi zake tena wa pande zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Nyumba ya ghorofa (Apartmet)​

inavutia, Bora na ya Kisasa.

vinavyochojitoshereza (masters), sebure kubwa
Nyumba ya ghorofa na apartment ni vitu viwili tofauti, rudi kwa mwenye nyumba akueleze vizuri kinachouzwa ni nini...

ndo maaa hizi kazi Lukuvi ilitaka zianze kufanywa na real estate lawyers badala ya ma mission town ambao hawajui kusoma na kuandika, what the hell is "sebure.... inajitoshereza" ????

mwambie mwenye nyumba abadilishe kitchen cabinets ili uweze kuona ndani, style ya mbao ni ya kizamani...

ma tiles ya Kichina na Kituruki ya kung'aa na kuteleza nayo ni cheap and terrible, niliwahi kutaka kuvunja mgongo sakafu ya CRDB Masaki, floor tiles za kishamba sana... Tiles zilizowekwa laundry room ni salama zaidi japo hazing'ai. I guess watu wanapenda ming'ao ming'ao ukitembea unaacha vivuli ndani ya nyumba.

Na hayo madirisha na milango ya vioo chini mpaka juu kwa bongo inakuwaje kiusalama ? Tunataka kutekwa au?

Ceiling fan zinakaa katikati, sio pembeni ya chumba. Vile vile kwa taa. Na ukiweza tindua choo humo laundry room. Design ya kiduwanzi sana. Fanya modification kwanza ndio useme nyumba ni ya kisasa.
 
Back
Top Bottom