Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

Nenda watafute wenyeji huko utapata hata nusu heka Kwa milioni 4
Sio eti square meter 300 Kwa milioni 3..

acha kujifanya mjuaji sana ndugu, we mbona hujaenda kutafuta io nusu heka kwa hao wenyeji kwa io 4mil,

jaribu kuuliza detail vizuri ni sehemu gani nilioipost, potentiality yake, neighbourhood na detail nyingine kwanza ndo uanze kuropoka,

na pia tambua hivyo ni viwanja, co mashamba,
ni viwanja vilivyopimwa na taratibu zote zikafatwa, havina migogoro na mteja anapata na hati yake
 

sawa ndugu, kwa hapo ni kwamba kama kiwanja ni 4M, mteja anatanguliza asilimia 40 au 50, inategemea na hali yake mwenyewe kiuchumi, ili sisi tuanze kushughulikia hati, inayobaki, unaigawanya kwa io miezi 9, halafu unakua unalipa kitaratibu, ikifika asilimia 75, unaruhusiwa kuanza na ujenzi
 
Ukiuza utatengeneza pesa Mingi sana.
 
Unapita Avic town? Unapita geza?

unapita geza na haufiki mwisho wa lami wala avic town,
kwenda kuona mradi ni siku yeyote na hatutozi gharama yeyote pia
0688753191
 
Vina hatimiliki ya miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…