Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kama inalipa kidogo kidogo kianzio shi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapita Avic town? Unapita geza?
Okay, najua lami imeisha kabla ya Avic town ndio maana nimetumia kama referenceAvic town ipo Cheka
Mbele ya Geza..
So hapa itakua kabla ya Avic town
Au mbele kidogo
Nenda watafute wenyeji huko utapata hata nusu heka Kwa milioni 4Okay, najua lami imeisha kabla ya Avic town ndio maana nimetumia kama reference
Kweli? Sitaki kuvuka mbele ya Dege eco villageNenda watafute wenyeji huko utapata hata nusu heka Kwa milioni 4
Sio eti square meter 300 Kwa milioni 3..
Kweli? Sitaki kuvuka mbele ya Dege eco village
ThanksVipo vingi sana
Unapita Avic town? Unapita geza?
Kama inalipa kidogo kidogo kianzio shi ngapi?
Nenda watafute wenyeji huko utapata hata nusu heka Kwa milioni 4
Sio eti square meter 300 Kwa milioni 3..
Mkuu ungeweka naka jedwali,kwamba ukitaka kulipa kwa miezi hiyo 9,mfano kiwanja cha 4M unakua unalipa kiasi flani hadi miezi yako 9 utakua ushafika 4M! Si wajua wengine pesa zetu hadi umkabe mtu,usipopata mteja wakumkaba kwa siku/week/mwezi inakula kwako
Unapita Avic town? Unapita geza?
Kweli? Sitaki kuvuka mbele ya Dege eco village
Unafika Dege?18km kutoka ferry,
unapanda daladala za cheka
karibu sana
0688753191
Nenda watafute wenyeji huko utapata hata nusu heka Kwa milioni 4
Sio eti square meter 300 Kwa milioni 3..
Vina hatimiliki ya miaka mingapi?kiwanja mara nyingi vinakua ni 20 kwa 20 yaani 400sqm, ila ivyo vinaanzia 300sqm, ambayo bei yake ni 3.6mil, sasa ukitaka icho cha 400 au hata 600. unazidisha na bei 12,000 kwa sqm moja, unapata bei kamili
mfano:
300sqm = 3.6mil
400sqm = 4.8mil
600sqm = 7.8mil
na kuendelea kutokana na mapenzi ya ukubwa wa kiwanja ukitakacho
kwa maelezo zaidi
0688753191