Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

Nenda watafute wenyeji huko utapata hata nusu heka Kwa milioni 4
Sio eti square meter 300 Kwa milioni 3..

acha kujifanya mjuaji sana ndugu, we mbona hujaenda kutafuta io nusu heka kwa hao wenyeji kwa io 4mil,

jaribu kuuliza detail vizuri ni sehemu gani nilioipost, potentiality yake, neighbourhood na detail nyingine kwanza ndo uanze kuropoka,

na pia tambua hivyo ni viwanja, co mashamba,
ni viwanja vilivyopimwa na taratibu zote zikafatwa, havina migogoro na mteja anapata na hati yake
 
Mkuu ungeweka naka jedwali,kwamba ukitaka kulipa kwa miezi hiyo 9,mfano kiwanja cha 4M unakua unalipa kiasi flani hadi miezi yako 9 utakua ushafika 4M! Si wajua wengine pesa zetu hadi umkabe mtu,usipopata mteja wakumkaba kwa siku/week/mwezi inakula kwako

sawa ndugu, kwa hapo ni kwamba kama kiwanja ni 4M, mteja anatanguliza asilimia 40 au 50, inategemea na hali yake mwenyewe kiuchumi, ili sisi tuanze kushughulikia hati, inayobaki, unaigawanya kwa io miezi 9, halafu unakua unalipa kitaratibu, ikifika asilimia 75, unaruhusiwa kuanza na ujenzi
 
kiwanja mara nyingi vinakua ni 20 kwa 20 yaani 400sqm, ila ivyo vinaanzia 300sqm, ambayo bei yake ni 3.6mil, sasa ukitaka icho cha 400 au hata 600. unazidisha na bei 12,000 kwa sqm moja, unapata bei kamili

mfano:
300sqm = 3.6mil
400sqm = 4.8mil
600sqm = 7.8mil
na kuendelea kutokana na mapenzi ya ukubwa wa kiwanja ukitakacho

kwa maelezo zaidi
0688753191
Vina hatimiliki ya miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom