Hivi huko si ndio nimeambiw ajana kuwa Viwanja heka huko ni laki Moja mpaka laki Mbili kutokana ukubw autakao chukua?
mimi nmenunua juzi tu hapa chanika shamba eka 2 kila moja kwa 2m..kusema eka laki moja si kweli.tena nibali kabisa na barabarani karibu km 7
......kule kuna vumbi sana, je una viwanja au shamba mitaa ya italiano kule kwenye viwanja vya kupima? I think wanaita kigezi, upande mwingine kuna nyumba zimejengwa za kuuzwa.Kama mwendo wa dakika 2 toka pale kituo cha mabasi
......kule kuna vumbi sana, je una viwanja au shamba mitaa ya italiano kule kwenye viwanja vya kupima? I think wanaita kigezi, upande mwingine kuna nyumba zimejengwa za kuuzwa.
habari njema
sasa ukinunua kiwanja
tunakufanyia process ya kupata hati(tittle)
fungua kiambatanishi picha chini hapo kupata maelezo zaidi
contacts:
0713565999 / 0767565999 / 0712780906 / 0769425161