Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani


Asante sana ndugu...karibu sana!Mwenyezi Mungu akupe wepesi uweze kufanikisha haja yako...
 

Ofcourse kama umekulia ilala kwenye vijumba vya 10x10 mnaishi watu sita hadi kumi. 15X30 utaiona kama ekari nzima. it is all about background na desturi za ulikotoka. kwa aliyekulia mkoani na nyumba yao imezunguukwa na shamba hicho si kiwanja cha kusifu ni uchochoro tu.
 
Chanika sehemu gan? Msumbiji, kwa ngware au njia ya mvuti?
 
Nikitaka square meter 1600 inaweza kuwa shillingi ngapi?
 
Viwanja vilivyouzwa mpaka 12-11-2014
ni namba 1,2,3,4,7,13,20,21,22

Pia vile vya 1.5M na 1.7M bado vipo japo sijaviweka kwenye ramani....vimebaki vichache

karibuni.

Contacts: 0713565999 / 0767565999 / 0712780906
 

Attachments

  • RAMANI SHAMBA LA VIDETE13-11-2014.jpg
    314 KB · Views: 414
Bado viwanja vipo

piga
0713565999 / 0767565999 / 0712780906
 

Attachments

  • RAMANI SHAMBA LA VIDETE15-11-2014.jpg
    328.1 KB · Views: 373
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…