Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

we madau niwekee kiwanja namba 4 na 5 weekend nakutafuta tukavicheki kama kweli ni vyako na unamiliki kialali
 
we madau niwekee kiwanja namba 4 na 5 weekend nakutafuta tukavicheki kama kweli ni vyako na unamiliki kialali

sawa ndugu....ila nadhani hapo cha muhimu ni kuwaunahitaji viwanja viwili weekend hii...naomba namba yako ta simu kwa ajili ya confirmation.
.waweza kuituma kwa PM..
karibu
 
Kiwanja kinauzwa...kipo kibamba mwisho (kwa neema)

ukubwa ni 25x20

eneo lina maji na umeme

bei imepunguzwa toka milioni 10 hadi milioni 7

anahitajika mnunuzi wa haraka

piga simu:0713565999 / 0767565999
 
Attachments

  • IMG_20141016_142049.jpg
    IMG_20141016_142049.jpg
    35.1 KB · Views: 244
  • IMG_20141016_142230.jpg
    IMG_20141016_142230.jpg
    81.1 KB · Views: 220
  • IMG_20141016_142034.jpg
    IMG_20141016_142034.jpg
    36.2 KB · Views: 205
  • IMG_20141016_141901.jpg
    IMG_20141016_141901.jpg
    32.2 KB · Views: 206
  • IMG_20141016_142224.jpg
    IMG_20141016_142224.jpg
    68.8 KB · Views: 204
Kwa sababu ndiyo kimebakia peke yake baada ya vingine kuuzwa kama unavyoona hizo nyuma za pembeni
 
Mbezi makabe hamna.Vp hicho cha kibamba bei haishuki zaidi ya hapo
 
Mbezi makabe hamna.Vp hicho cha kibamba bei haishuki zaidi ya hapo
Mbezi Makabe/Msumi vipo....Milioni 4 na kuendelea...ukubwa 20x20...25x20 na kuendelea...Hicho cha Kibamba kuna maongezi kidogo
 
Back
Top Bottom