Tunavyojidanganya kuhusu mapinduzi huko Sri Lanka

Pumba, wananchi wanapitia msoto wa maisha makali halafu wapuuzi wachache mnanenepesha makalio Tu Kwa kukwapua resources halafu unataka wakae Tu ? , Upuuzi huo upo danganyika state tu
 
Inatakiwa Tawala zinazokataliwa na raia regime nzima inyongwe hadharani maana sio kushindwa kuongoza bali walikuwa kwenye nia ya kungamiza raia so ni hukumu ya kifo tu wanastahili viongozi waliondoshwe kwa nguvu ya uma
 
Na Kwa taarifa yenu kuna nchi haya yaliyotokea Sri Lanka yatatokea na yanaendelea kutokea Argentina leo kulikuwa na maandamano na sababu ni zile zile ugumu WA maisha na uongozi mbovu + corruption, Chile , Turkey, Ecuador ,Honduras, Pakistan , Lebanon, Zimbabwe wafanyakazi wapo kwenye migomo , Cuba Hali si shwari , Venezuela , Libya ,Egypt , Brasil , Ghana pia kuna maandamano ,. Huu ni mfano WA nchi chache Tu Ila nchi nyingi zinapumulia mirija kiuchumi Kwa sasa , na ni upumbav WA viongozi WA hizo nchi kumismanage
 

Nchi ina kila kitu wanataka waonyeshwe la kufanya vilema wa akili
 
Nakubaliana na wewe mkuu.

Lazima system yao iliwachoka hao viongozi wawili ila wamewaondoa kistaarabu wamewasaidia hadi kuwaficha na wameweza hata kukimbia na mabegi ya pesa.
 
Wewe endelea kuota hujui people's power !!
Endelea kuamini ktk propaganda za kijamaa.....
 
Typical hizi ni akili duni za mtanzania anayedhani hawezi kufanya chochote bila msaada! Unadhani nchi zote zina wananchi goigoi kama sisi. Hivyo vyombo vya usalama vitaweka mkono kama wananchi wamelala huku wanabishana mambo ya Yanga na Simba kama sisi? Kwanza hujui historia ya nchi ya Sri Lanka na ni kina nani walikuwa kwenye madaraka! Rubbish!
 
Unataka kutuambia kuna mkono wa CIA
 
Kwa hiyo unapinga kwamba mataifa ya Afrika hayawezi kupata nguvu ya idara za usalama wala mkono wa mataifa ya nje?
 
Unajaribu kuelimisha hawa raia wenye utapiamlo wa akili watakuelewa? Aliyetubania elimu alituweza kweli kweli.
Socialsm brougt us here !! Na hali inazidi kuwa mbaya , hapo mwanzo ujamaa ulitutengenezea watu wavivu , wakiamini kuwa hata wasipofanya kazi , kuna mtu atawafanya na watapata manufaa wote.
Hali ilipofikia sasa ni kuwa hata kufikiri kwa kawaida tu , jamii inaamini kuwa viongozi wanaweza kufikiri kwa niaba yao.
 

Suala la China kukopesha fedha nyingi Sri Lanka kwa mikopo mibaya isiyolipika ni fact, na limesemwa na watu wengi.

BBC haikusababisha China kuikopesha Sri Lnka hela nyingi kwa mikopo isiyolipika.

Na hicho ndicho alichojibu mwanasiasa huyo wa Sri Lanka, kwamba wanasiasa wa Sri Lanka wamefanya maamuzi mabaya, hilo halikwepeki.

Huko nje hata kama kuna mbinu za ku undermine Sri Lanka, hiyo ni fact ya dunia tu, ni geopolitics.

Kinachotakiwa ni Sri Lanka kuwa na wanasiasa wanaojua kuitetea nchi yao, na si kuacha nchi yao inateketea kiuchumi huku wao wakivimbisha matumbo yao, halafu wakifurushwa, walalamike kuna mabeberu huko nje.

Yani, ni kama vile unajua huu uwanja una miba na mbigiri nyingi, halafu unao uamuzi wa kuvaa viatu, halafu unakataa kuvaa viatu. Halafu ukichomwa na miba, unalalamika uwanja una miba mingi.

Uwanja kuwa na miba ni fact, wewe umejilinda vipi na hiyo miba? Kwa nini miba ikuchome wewe na si jirani yako?
 
Heri yao Sri Lanka, kama wameweza kutambua "uwanja wao una mbigiri" na kufanya uamzi wa kuondoa hiyo miba.

Huku kwingine hadithi ni zile zile za "mabeberu", au "bila mabeberu nchi yetu haiwezi kupata maendeleo"
Hatuwezi kukosa wa kumlaumu, ila hatuwezi kujilaumu wenyewe.
 
Walijaribu kwa jiwe wakaangukia pua
 

Hahaa uongo wenye upumbavu ndani yake.

Nani anaweza kuajiri watu 1260 kila wilaya?

Tena hawajuani? We umewajuaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…